Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kushoto) akiongea na wadau wa
mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa na
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam. Kulia ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi
Patrick Mfugale.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kulia) akiongea na wadau wa
mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa na
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam. Kushoto
ni Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OR-TAMISEMI) Selemani Jaffo.
Kaimu Mtendaji Mkuu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)
Mhandisi Ronald Lwekatare akitoa taarifa ya mradi wa mabasi yaendayo
haraka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene (kushoto) akiongea na wadau
wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (hawapo pichani) yanayosimamiwa
na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.
Katikati ni Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (OR-TAMISEMI) Selemani Jaffo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OR-TAMISEMI) George Simbachawene (wa pili kulia) akiongea na wadau
wa mradi wa mabasi yaendayo haraka yanayosimamiwa na Wakala wa
Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.
Msajili Masaidizi wa Hazina Jones Mwalemba akitoa ufafanuzi namna
ofisi yake inavyochangia katika kukamilisha mradi wa mabasi yaendayo
haraka wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene
alipokuwa akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka
yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar
es salaam.
Mkurugenzi wa Takwimu UDART Hamdi Al-Hadj akifafanua jambo
wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa
akiongea na wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka
yanayosimamiwa na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar
es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)
mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (OR-TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa akiongea na
wadau wa mradi wa mabasi yaendayo haraka yanayosimamiwa na Wakala
wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment