Ofisa Mwelekezi wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali,Vituo vya Taarifa na Elimu ya kujiajiri. Bi. Emiliana Muchu akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam,kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali Bw.Bw. Dominic Ngunguru akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Mratibu wa Programu ya Ukuzaji Ajira zenye Staha Kanda ya Afrika Mashariki na mwakilishi wa Taasisi ya FIC kutoka Nairobi Kenya, Bw.Festus Ouko akichangia mada wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo jana jijini Dar es Salaam. Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakiwa katika picha ya pamoja jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo. Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Picha na Frank Shija, WHUSM
No comments:
Post a Comment