Tuesday, April 26, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Naibu waziri wa mambo ya ndani Mhe Masauni amesema Tanzania haiwezi kuwa mtumwa wa misaada ya wafadhiri kutokana na rasilimali zilizopohttps://youtu.be/obeZ18OgTGg  
 SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla amesikitishwa na mlundikano wa mahabusu na wafungwa katika gereza la Luanda kutokana na kuchelewesha usikilizaji wa kesi zao. https://youtu.be/AkQY4fFfTec
 SIMU.TV: China imekubaliana kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kati yenye urefu wa kilometer 2561   https://youtu.be/Qky40U8TZVM
 SIMU.TV: Jifunze mambo mbalimbali  yatakayokujenga  kutoka kwa mfanya biashara  akikufahamisha kuhusu siku ya haki miliki duniani: https://youtu.be/KrIAi6uiaE0
 SIMU.TV: fahamu mambo mengi  kutoka kwa wadau wa muungano nchini wakikujuza kuhusu maadhimisho ya mika 52 ya muungano wa Tanzania:https://youtu.be/lOD_YDk6aRI
 SIMU.TV: Yajue mambo mengi kutoka kwa wadau wa elimu kutoka visiwani Zanzibar wakikujuza kuhusu masuala ya elimu: https://youtu.be/YjmOc9meSOA 
 SIMU.TV: Serengeti boys yaanza mazoezi ikijiandaa na michuano na timu ya India itakayofanyika mwezi ujayo ;  https://youtu.be/f0z_O_E9S-w
 SIMU.TV: Kambi iliyofunguliwa katika zahanati ya Kiloleni mjini Tabora kwaajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu yafungwa rasmi;https://youtu.be/eJAjmF95lRQ
 SIMU.TV: Rais John Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 3551 katika kuadhimisha sikukuu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar; https://youtu.be/0hx3wvo8yjk
 SIMU.TV: Jambazi mmoja auawa na wengine wanne wanashikiliwa na polisi baada ya majibizano ya risasi na polisi mkoani Katavi; https://youtu.be/FjEUIXdSInE

No comments: