Saturday, April 16, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais Magufuli aweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa barabara za juu eneo la TAZARA; https://youtu.be/E_LHXfe0iQE 
SIMU.TV: Wananchi wa Vijibweni Kigamboni waipongeza serikali  kufuatia  kukamilika kwa daraja la Kigamboni ambalo litarahisisha usafiri;https://youtu.be/QW4OWEMGvtE
 SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa awataka watendaji wa mradi wa DART   kukamilisha haraka mradi huo uanze kutumiwa na wananchi;https://youtu.be/S6aoVS68UBU
 SIMU.TV: Wakazi na watumiaji wa barabara ya Tabata kisiwani waulalamikia uongozi wa manispaa kushindwa kutengeneza na hivyo kusababisha kero kwa wananchi ;https://youtu.be/zpUDBH6zhQA
 SIMU.TV: Waziri Mwigulu aagiza kamati ya ulinzi kuchunguza upotevu wa mashine ya kusagia taka katika soko la kimataifa Kirumba mkoani Mwanza;https://youtu.be/Zq_tasCcuoc
 SIMU.TV: Serikali imeombwa kufikiria upya ada inayotolewa kwa mwaka na mashirika yasiyo ya kiserikali NGO kwakua mashirika hayo yameundwa kutatua matatizo katika jamii; https://youtu.be/zxcczH_fzIk
 SIMU.TV: Chuo kikuu cha kilimo SUA chatoa elimu kwa wakulima wa pamba na mpunga ili kuwasaidia wakulima kunufaika na mazao yao; https://youtu.be/atNCC2JAeqM
 SIMU.TV: Timu ya Yanga yafanikiwa kurejea kileleni katika michuano ya Ligi kuu Vodacom baada ya kuichapa Mtibwa Sugar bao 1-0;  https://youtu.be/0BoVxUWKiEg
 SIMU.TV: Klabu ya Coastal Union imeendelea na harakati zake za kuhakikish ainabaki katika ligi kuu  baada ya kuipiga timu ya JKT Ruvu bao 1; https://youtu.be/Oj2cRaiUEdU
 SIMU.TV: Chama cha wavu Dar es salaam chaanzisha rasmi ligi ya mchezo huo itakayojumuisha timu 13 kutoka sehemu mbalimbali ya jiji; https://youtu.be/xJOIgg_VGxs
 SIMU.TV: Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa  barabara ya juu katika eneo la Tazara ili kupunguza msongamano wa magari: https://youtu.be/zLGhysT1xXI
 SIMU.TV: Rais wa Burundi amemtumia ujumbe Rais Magufuli  akimuhakikishia kuwa hali ya Burundi ni shwari na kuwaomba wanachi wa Burundi kurujea:https://youtu.be/uf5URKwDCUU
 SIMU.TV: Waziri wa michezo Mh.Nape Nnauye amelitaka  shirika la TBC kutumia wanasheria wa serikali kutatua migogoro ya viwanja vya shirika hilo:https://youtu.be/lP5kf546nfU
 SIMU.TV: Waziri mkuu  amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo  haraka kumalizia vipengele vilivyobakia haraka iwezekanavyo: https://youtu.be/aQluUlhMoEU
 SIMU.TV: Waziri wa habari Mh.Nape Nnauye amesema atapambana na rushwa iliyopo katika sekta ya michezo ili kukuza michezo nchini: https://youtu.be/Rd7vzpM1h8c
 SIMU.TV: Ingawaje Tanzania imenufaika na umoja wa Afrika Mashariki katika Nyanja mbalimbali lakini bado yakabiliwa na changmoto lukuki. https://youtu.be/-Jwca3Xl_ug
 SIMU.TV: Utafiti waonyesha kuwa asilimia kubwa ya lugha za kiafrika zinashabihiana katika maana ya kisarufi, kimatamshi na kimantiki. https://youtu.be/pAI27rOmtoM
 SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dkt. Shein amesema atawachukulia hatua wale wote watakofanya udanganyifu katika ugawaji wa pesheni kwa wazee.https://youtu.be/Y3xeZjAQlCk
 SIMU.TV: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza atuma ujumbe kwa rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na kumhakikishia hali ya usalama nchini humo.https://youtu.be/ZroUqWw_Uxw

No comments: