Thursday, April 21, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv: Wadau wa uangalizi wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 waeleza kuridhishwa na uchaguzi huo licha ya dosari za hapa na pale zilizojitokeza.https://youtu.be/9NCZeMkOEiI
 Simu.tv: Maafisa elimu wa manispaa ya Dodoma wahamishwa baada ya kushindwa kutemebelea shule za manispaa hiyo na baada ya kubainika kutozijua hata shule zilipo.https://youtu.be/PHj_ndpfGjs
 Simu.tv: Watu wanne wamepoteza maisha baada ya kupigwa risasi kwenye tukio la ujambazi lilotokea mjini Tanga. https://youtu.be/HCKCJna1g6g
 Simu.tv: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amemuapisha mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni na kumtaka akafanye kazi kwa bidii na uadilifu.https://youtu.be/JrySv3xplz0
 Simu.tv: Wafanya kazi wa karakana ya Spring City inayomilikiwa na raia wa china nusura wampige mtu mmoja baada ya kujitwalia madaraka ya kuusemea uongozi wa karakana hiyo kufuatia wafanyakazi hao kugoma wakidai stahiki zao.https://youtu.be/44MqPMIM5BA
 Simu.tv: Mkuu wa mkoa wa Lindi amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya lindi baada ya kushindwa kusimamia utekelezaji mradi wa banio la umwagiliaji. https://youtu.be/Xzwjl6no3Eo
 Simu.tv: Ukosefu wa elimu ya bima kwa watanzania walio wengi umeelezwa kuwa chanzo cha watanzania wengi kuweka mali zao hatarini.https://youtu.be/zwD3wnDtuB8 
 Simu.tv: Katibu mkuu wizara ya viwanda biashara na uwekezaji anatarajiwa kufungua mafunzo kwa wajasiriamali juu ya faida za kujitangaza kibiashara.https://youtu.be/P5BE7GWBd6M 
 Simu.tv: Baada ya yanga kung’olewa kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika imeingia moja kwa moja kwenye kombe la shirikisho https://youtu.be/aKbMIoeuakQ
 Simu.tv: Chama cha wakufunzi wa kuogelea kinatarajia kufanya uchaguzi wa uongozi wake baada ya uchaguzi huo kuahirishwa mwaka jana.https://youtu.be/CUfQx1QsinU  
 Simu.tv: Arsenal itamenyanana na west brom albion usiku huu ikiwa ni mchezo muhimu sana kwa arsenal ili kujiongezea alama na kujihakikishia kumaliza kwenye nafasi nne bora. https://youtu.be/EqYFXgbkC2s
 Simu.tv: Rais Magufuli aelezea kusikitishwa  kwake na taasisi zinazowatetea watu wanaotumbuliwa majipu kwa madai kuwa anawadhalilisha;https://youtu.be/8vNYduVvZd8
 Simu.tv: Wasimamizi wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana wameelezea kuridhishwa kwao na mchakato mzima wa uchaguzi licha ya kuwepo na dosari za hapa na pale;https://youtu.be/CluMhjGUzFM
 Simu.tv: Jeshi la Polisi mkoani Tanga limeombwa kuwasaka majambazi waliohusika na mauaji ya watu wanne mkoani humo; https://youtu.be/SH_8z78wXSg
 Simu.tv: Wananchi wa vijiji sita wilayani Karatu Mkoani Arusha waombwa kutunza misitu inayozunguka hifadhi ya mamlaka  Ngorongoro; https://youtu.be/VeCQURsIJCc
 Simu.tv: Wabunge waishauri serikali kutilia mkazo katika sekta za kilimo, madini na viwanda ili kutimiza lengo la serikali kuifanya Tanzania ya Viwanda;https://youtu.be/3ou3T1BHw1I
 Simu.tv: Wasiojiweza Mkoani Mwanza walalamikia kuliwa kwa misaada yao iliyotolewa na Mama Janeth Magufuli na walezi wa wasiojiweza hao;https://youtu.be/E_DsjxIs0gM
 Simu.tv: TRA yafungia viwanda vitatu vinavyomilikiwa na raia wa china mkoa wa kodi wa Ilala kwa tuhuma za ukwepaji wa kodi; https://youtu.be/USEqogb1ZYk
 Simu.tv: Utafiti wabaini bidhaa zinazozalishwa na wajasiliamali wa ndani zinasoko kubwa endapo zitazalishwa katika ubora; https://youtu.be/OnkQX0zNUbo

No comments: