Tuesday, April 19, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv:  Mfuko wa taifa wa bima ya afya umejipanga kuongeza uwezo wa kuwafikia walengwa zaidi ambapo kwa sasa wamefanikiwa kuongeza kutoka asilimia 14 hadi 27https://youtu.be/bUMr4lrfQ9s

Simu.tv:  Shule ya msingi Kigogwe iliyopo mkoani Kigoma imefungwa kutokana na wanafunzi kukosa vyoo vya kujissaidia huku wakilazimika kutumia vigoda kwa kukosa madawati https://youtu.be/zP5VoXVKUDA

Simu.tv:  Wakazi wa mkoani Lindi na Mtwara wamesema wanafurahia kupanda mbegu mpya za ufuta zilizo wapa mafanikio ambayo yalibadilisha maisha yao.https://youtu.be/TyNQxaSw0XQ

Simu.tv:  Mfanya biashara wa China ahukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini kwa kosa la kutotoa risiti za EFD https://youtu.be/P8daK2gLyQc

Simu.tv:  Uvuvi haramu na kushuka kwa uchumi wa nchi za nje umesababisha kudorora kwa soko la samaki kutoka Tanzania https://youtu.be/heoSpJ8Rdk8

Simu.tv:  Baraza la michezo limelitaka TFF kuhakikisha uchaguzi wa viongozi katika klabu ya Yanga unafanyika haraka https://youtu.be/8UK2ASaSfTs

Simu.tv:  Waziri wa habari Sanaa na michezo amesema serikali lazima ihakikishe kuwa wasanii wananufaika na kazi zao kwa kuwabana wanaodurufu kazi za wasaniihttps://youtu.be/qNkBP7kwGIE

Simu.tv:  Klabu ya PSG imeanza mchakato wa kumpata kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho baada ya klabu hiyo ya PSG kupata matokeo mabaya UEFA.https://youtu.be/5qkt6dDFsT0

Simu.tv:  Vijana zaidi ya mia mbili wanatarajia kushiriki mchujo wa kuwatafuta chipukizi wa filamu. https://youtu.be/9atgoRS3eTk

Simu.tv:  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr. Shein awaapisha makatibu wakuu na manaibu wao katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.https://youtu.be/EQTlXM-DBWY

Simu.tv:  Chama cha mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka viongozi wa chama hicho na serikali visiwani humo kuhakikisha wanatoa msaada kwa wahanga wa mafuriko bila ya kujali tofauti za vyama vyao. https://youtu.be/ezU7LtMISfw

Simu.tv:  Shirika la maendeleo la kimataifa la Marekani US AID laahidi kuendelea kuisaidia Zanzibar katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo ili iweze kujitegemea kiuchumi. https://youtu.be/dY0HumpcxE4

Simu.tv:  Rais John Pombe Magufuli atumbua jipu kwa kumsimamisha kazi mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam kwa tuhuma za ubadhirifu. https://youtu.be/uE32LernhJQ
  
Simu.tv:  Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam hususani waishio Kigamboni watoa maoni yao juu ya uzinduzi wa daraj la Kigamboni huku wakielezea furaha yao.https://youtu.be/IhATGIZxKHc

Simu.tv:  Rais Dk John Magufuli afungua rasmi daraja la Kigamboni hii leo Jijini Dar es salaam huku akilibatiza jina la Mwalimu Nyerere; https://youtu.be/DX2DJEmRWic

Simu.tv:  Bunge laanza rasmi leo mjini Dodoma huku wananchi wakiomba wabunge kuacha ushabiki wa vyama na badala yake kujadili maslahi ya Taifa;https://youtu.be/vf1Z6fZOCW4

Simu.tv:  Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza yakabiliwa na upungufu wa madawati hali inayopekelea watoto wengi kukaa chini; https://youtu.be/6wizypFqkvQ

Simu.tv:  Walemavu wa macho mkoani Dodoma wakumbwa na tatizo la ukosefu wa maji hali inayowasababishia kushindwa kufanya shughuli za kimaendeleo;https://youtu.be/zvyKw35Ch60

Simu.tv:  Rais Dk Magufuli ametuma salamu za rambirambi Japan kufuatia vifo vya watu vilivyotokea baada ya tetemeko la ardhi kuikumba nchi hiyo;https://youtu.be/se90GKJ_TyI

Simu.tv:  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Zelote Stephen aahidi  kuisaidia TBC ili kuwezesha usikivu kwa mikoa iliyoko pembezoni mwa nchi; https://youtu.be/uvoc__vi5Yc
  
Simu.tv:  Mkuu wa mkoa wa Iringa afuta likizo ya mwenyekiti wa mtaa wa Dodoma D kwa kushindwa kutekeleza agizo la usafi; https://youtu.be/x4tmsyFdceA

Simu.tv:  Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wawataka wafanyabiashara wa mazao ya chakula nchini kuchangamkia soko la chakula Sudan ya Kusini;https://youtu.be/RAVzp6iRhT4

Simu.tv:  Simbeye wataka wajasiliamali kuzitumia taasisi za kibenki kujiongezea mitaji katikla biashara zao; https://youtu.be/rn3sqdmXEqM

Simu.tv:  TRA Mkoani Kilimanjaro yaunda timu ya kukabiliana na wafanyabiashara wanaotumia njia za magendo kukwepa kodi; https://youtu.be/SiHaGzp1q1Q

Simu.tv:  Baraza la michezo nchini BMT lasema hawautambui uongozi wa Yanga ulioko madarakani na kuwataka wafanye uchaguzi June mwaka huu;https://youtu.be/SUMkVLoML0AB
Simu.tv:  Serengeti boys inatarajiwa kwenda kushiriki michuano ya vijana nchini India mwezi wa tano mwaka huu; https://youtu.be/nIFMTCaybUQ

Simu.tv:  Tottenham yaichapa Stoke City kwa idadi ya mabao 4 kwa 0 na kujiweka pazuri zaid kuelekea mbio za kuwania Ubingwa; https://youtu.be/ya1jpNUJfBs

No comments: