Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na
Utamaduni (TaSUba) Bw. Michael Kadinde
wa kwanza kushoto akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh.
ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea
utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia
akiangalia moja ya tuzo ya ubora iliyopewa taasisi hiyo Afrika Mashariki wakati
wa ziara ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.Kushoto ni Kaimu Mtendaji
Mkuu wa TaSUba Bw. Michael Kadinde
Naibu
Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia
akimuuliza jambo Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni
(TaSUba) Bw. Michael Kadinde kushoto
wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na
changamoto zinazowakabili.
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto
akimuonyesha Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.
Anastazia Wambura kulia ramani mpya ya taasisi hiyo wakati wa ziara aliyoifanya
katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.
Mwenyekiti
wa Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo Mwalimu John Mponda akionyesha
umahiri wa kucheza ngoma mbele ya Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura hayupo pichani wakati wa ziara aliyoifanya
katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto
akimuonyesha Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Bi. Leah Kihimbi katikati moja
ya sanaa iliyotengenezwa na wanafunzi wa taasisi hiyo wakati wa ziara
aliyoifanya Mh. Wambura katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na
changamoto zinazowakabili, wa kwanza kulia ni Afisa Mipango wa taasisi hiyo Bw.
Emanuel Bwire.
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akionyesha zawadi aliyopewa na
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) wakati wa ziara aliyoifanya Mh. Wambura katika taasisi hiyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili, wa kwanza kulia ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho.
: Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa pili kutoka kulia akiongea na
watumishi wa Taasisi ya Sanaa na
Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) hawapo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika
taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazoikabili taasisi hiyo,
wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
No comments:
Post a Comment