Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akisalimiana na Ofisa manunuzi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Lauden Mugogo,wakati alipowasili kuzindua kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira lililoandaiwa na baraza hilo, liliofanyika jijini Dar es Salaam leo.kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa baraza hilo,Dkt.Adolf Rutayuga.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila(kushoto)akifafanuliwa jambo na Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE),Dkt.Adolf Rutayuga(kulia) wakati alipowasili kuzindua kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira lililoandaiwa na baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.katikati ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa baraza hilo,Prof.Yunus Mgaya.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira lililoandaiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa baraza hilo,Prof.Yunus Mgaya(kushoto)Mwongozaji wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,Reeves Ngalemwa(watatu kushoto)pamoja na Kaimu Katibu Mkuu wa baraza hilo,Dkt.Adolf Rutayuga(kulia)wakimuongoza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila(wapili kushoto)kuzindua kongamano hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akiongea na waandishi wa habari baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)jijini Dar es Salaam leo,wapili toka kushoto Mwenyekiti wa bodi ya elimu ya mafunzo,Dkt. Rebecca Sime na Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE),Dkt.Adolf Rutayuga.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,wakimsikiliza kwa umakini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila(hayupo pichani)wakati akizindua kongamano hilo lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment