Friday, April 8, 2016

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah afanya ukaguzi wa maendeleo ya Ukarabati wa Ukumbi wa Bunge

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaffery Ind. Saini Ltd inayofunga Meza na Viti katika Ukumbi wa Bunge Ndg. Vishal Singh Sain baada ya kampuni hiyo kukamilisha zoezi la kufunga meza mpya 404 na viti vipya 94 na kurejeshea viti vya awali katika meza mpya zilizofungwa katika ukumbi huo.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akisisitiza jambo mbele ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaffery Ind. Saini Ltd inayofunga Meza na Viti katika Ukumbi wa Bunge Ndg. Vishal Singh Sain baada ya kampuni hiyo kukamilisha zoezi la kufunga meza mpya 404 na viti vipya 94 na kurejeshea viti vya awali katika meza mpya zilizofungwa katika ukumbi huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaffery Ind. Saini Ltd inayofunga Meza na Viti katika Ukumbi wa Bunge Ndg. Vishal Singh Sain akimuonesha Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah jinsi ubora wa Meza Mpya katika Ukumbi wa Bunge na jinsi Kampuni hiyo ilivyofanikisha kurejeshea vipaza sauti katika Meza hizo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaffery Ind. Saini Ltd akimuonesha Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah hatua iliyofikiwa na kampuni hiyo kufunga meza mpya 404 na viti vipya 94 na kurejeshea viti vya awali katika meza mpya zilizofungwa katika ukumbi huo.
Wakikagua Viti.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akieleza jambo mbele ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaffery Ind. Saini Ltd Ndg. Vishal Singh Sain wakati wa ukaguzi huo.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akimuonyesha eneo la paa Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaffery Ind. Saini Ltd Ndg. Vishal Singh Sain wakati wa ukaguzi huo.
Katibu akiangalia sehemu ya Meza Mpya
Mafundi wakiendelea na kazi.
Sehemu ya Muonekano wa Viti na Meza Mpya na viti ndani ya Ukumbi wa Bunge
Muonekano wa Paa baada ya kufanyiwa ukarabati

1 comment:

Anonymous said...

Haipendezi kuona bendera ya taifa inakanyagwa. I don't know how we came up with having a carpet of our national colours in the parliament. Wahusika tuelimisheni.