Wednesday, April 13, 2016

HEPI BESDEI YA KUZALIWA ANKAL SUZANA JOHN BADI YAFANA SANA


Kekizz ya Besdei ya kuzaliwa Ankal Suzana John Badi.
Ankal Suzana John Badi akikata keki wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi iliyipita. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG 
Ankal Suzana John Badi akimlisha keki mama yake Elizabeth, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. 
Ankal 
Suzana John Badi akimlisha keki Baba yake John Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. 
Ankal
 Suzana John Badi akimlisha keki Mama yake mkubwa Rose huku mama zake wakubwa Josephine na Stela wakishuhudia, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. 
Ankal
 Suzana John Badi akiwalisha keki watoto wenzake, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. 
Ankal
 Suzana John Badi akilishwa keki na mama yake Elizabeth, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. 
Ankal
 Suzana John Badi akilishwa keki na Baba yake John Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. 
Mama mkubwa wa Suzy, Rose Mahiga akikata keki wakati wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwao eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. Birthday hiyo ilienda sambamba na ya Suzy. 
Mama mkubwa wa Suzy, Rose Mahiga akilishwa keki na Suzana Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwao eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. Birthday hiyo ilienda sambamba na ya Suzy. 

No comments: