Saturday, April 30, 2016

GALA DINNER, FASHION SHOW, BURUDANI NA KUTOA VYETI KWA WADAU MBALIMBALI DICOTA 2016 DALLAS, TEXAS


 Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Wilson Masilingi na mkewe Marystela Masilingi na wageni wao wakihudhuria gala Dinner ya DICOTA  2016 iliyofanyika siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani. Katika gala Dinner kulikuwepo Balozi alishiriki utoaji vyeti kwa wadau mbalimbali na yeye mwenyewe kupewa zawadi kutoka menej wa Turkish Air ambao walikua nikati ya wadhamini wa kongamano la DICOTA 2016. Picha na Vijimambo/Kwanza Production.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye gala dinner ya kongamano la DICOTA 2016.
Wadau waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye Gala Dinner siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani.
Gala Dinner ikiendelea.
 
 BALOZI WILSON MASILINGI AKIKABIDHI VYETI KWA WADAU MBALIMBALI
RAIS WA DICOTA NDAGA MWAKABUTA AKIPEWA ZAWADI MAALUM NA DICOTA KWA MCHANGO NA KAZI NZURI ANAYOIFANYA.
 SHIRIKA LA NDEGE LA TURKISH LIKITOA TIKETI YA NDEGE KWA MSHINDI AMBAYE ALIKUA NI STEVE KUTOKA MASSACHUSETTS NA WALITOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WADAU WA DICOTA AKIWEPO ZAWADI KWA MHE. BALOZI WILSON MASILINGI.
 BURUDANI
 


 FASHION SHOW 
 
 

No comments: