Monday, March 14, 2016

WAZIRI NAPE NNAUYE AFUNGUA KIKAO CHA KAZI CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI LEO MKOANI MOROGORO.


Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye akifungua kikao chao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro .
Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini wakimsikiliza Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo mhe Nape Nnauye wakati akifungua kikao chao cha kazi cha mwaka ukumbi wa VETA Morogoro. 
Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini wakijitambulisha muda huu mbele ya Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo mhe Nape Nnauye ambae  atafungua kikao chao cha kazi cha mwaka ukumbi wa VETA Morogoro. 


Maafisa habari na mawasiliano serikalini wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo,mara baada ya kujitambulisha mbele ya Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye ambae amefungua kikao chao cha kazi cha mwaka ukumbi wa VETA Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo BW. Assah Mwambene (wa pili kushoto) akiwa na wadau baada ya kumsindikiza Mhe. Nape Nnauye baada ya kufungua kikao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini katika ukumbi wa VETA Morogoro.

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye akifungua kikao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini katika ukumbi wa VETA Morogoro.
Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini katika ukumbi wa VETA Morogoro.
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye akiongea baada ya kufungua kikao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini katika ukumbi wa VETA Morogoro.

No comments: