Saturday, March 26, 2016

VIJANA WA KKKT IRINGA MJINI WAKIINGIZA IGIZO LA MATESO YA YESU KRISTO

Kijana  wa kwaya  ya  vijana   katika  kanisa la Kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika  wa Iringa mjini Bw   Ezekiel Mbyopyo akiwa ametundikwa Msalabani   wakati  akiigiza  igizo la Mateso ya  Yesu  Kristo  igizo lililofanyika Ijumaa kuu wakati  wa tamasha  la maneno Saba ya Yesu Msalabani (PICHA NA MATUKIODAIMABLOG)
Vijana   walioigiza kama wayahudi  Brown  Mwaipopo (kushoto) na Eston Mgaya  wa  kanisa la  Kiinjili la Kilutheri  Tanzania (KKKT) usharika  wa  Iringa mjini wakimuwamba Msalabani  kijana  mwenzao Ezekiel Mbyopyo  wakati  wa Igizo la mateso ya  Yesu  Kristo  siku ya  ijumaa kuu
Mwonekano  wa Kanisa   hilo ambalo liliandaa  Igizo   la mateso ya  Yesu
Kijana  aliyeigiza kama  Simon  akiwa amempokea  Yesu Msalaba

No comments: