Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Rais wa Tanzania Women of Achievement Irene Kiwia akitoa hotuba ya ufunguzi katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia,
Mwongoza Mada Modesta Mbughunia kifurahia jambo katika mjadala wa Uwiano sawa wa kijinsia uliofanyika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mhadhiri kutoka Centre of Foreign Relations and International Affairs Prof.Ruth Meena akifafanua jambo wakati mjadala kuhusu uwiano sawa wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mmoja wa wazungumzaji wakuu Prof Slyvia Kaaya akichangia mada katika mjadala wa uwiano sawa wa kijinsia pembeni yake ni Bi Mary Rusimbi aliyekuwa mkurungezi mtendaji wa BOT ,na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Bade ,anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Waziri wa fedha mstaafu Mama Zakhia Meghji akichangia katika ya uwiano sawa katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mwandishi wa habari Mkongwe Bi Edda Sanga akichnagia mada ya Usawa wa Kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mfanyabiashara na blogger Monica Joseph akichangia mada katika mjadala wa usawa wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
MC Taji Liundi akiongoza utaratibu katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mwanafalsafa Dk Elie Waminian akitoa mada katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mmoja wa wasichana waliopata usimamizi (Mentorship ) kutokaTaasisi ya TWA Dalini Kilemba akitoa ushuhuda kwa washiriki jinsi TWA walivyoweza kubadilisha maisha yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi yaliyofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi ambaye alikuwa mmoja wa wazungumzaji wakuu katika mazungumzo yaliyofanyika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi akitoa neno la shukrami kwa washiriki .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsi
Mwanamzuki CHi akitumbuiza katika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Washiriki mbalimbali wa kongamano wakiweka saini zao katika ubao maalum katika namna ya kutoa ahadi ya Uwiano sahihi wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia .
No comments:
Post a Comment