Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezikiel
Elias Kyunga mara baada ya kuwasili katika viwanja wa Chato Mkoani
Geita. Rais aliwasili Wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe
kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezikiel Elias Kyunga kulia
,Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma kushoto na Naibu waziri
wa Nishati na Madini ambaye pia ni mbunge wa Chato Dkt. Medard Kalemani
watatu kutoka kulia wakielekea kwenye uwanja wa Mkutano wa mazaina kwa
ajili ya kuwasalimia mamia ya wakazi wa Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
ngoma na kikundi cha ngoma za asili cha Chato mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa Mkutano Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa Chato mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
Mazaina Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwashukuru wakazi wa Chato waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Michezo
wa Mazaina Wilayani Chato.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu wa wageni mara baada ya kuwasili Wilayani Chato.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu wa wageni mara baada ya kuwasili Wilayani Chato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo katika hotuba yake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi wa Chato mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa
hadhara.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wananchi wa Chato mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Wakazi
wa Chato wakifurahia Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Michezo
wa Mazaina Wilayani Chato. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment