Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika leo wametua Bukoba ikiwa ni mwendelezo wao wa "Kamatia Chini lights up Tour" ambapo usiku huu watashusha show yao ya Nguvu kwenye Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night uliopo Bukoba Mjini. Wasanii hao wanaletwa hapa Mjini Bukoba kupitia kampuni ya Sleek Events ya Jijini Mwanza.
Nahreel
Tayari kwa Kazi usiku huu Lina,s Club
Picha ya Pamoja na Wadau wao
Msanii Aika akichiself
Wadau wakipata picha ya pamoja na wasanii wa Kundi la Navy Kenzo
Furaha baada ya ktua mjini Bukoba.

No comments:
Post a Comment