Sunday, February 28, 2016

VODACOM WAZINDUA VODASHOP YAO MPYA JIJINI MBEYA

Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya wakati wa uzinduzi wa Duka la Vodashop jijini Mbeya.
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akikata utepe wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lilipo uhindini jijini Mbeya, kulia Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja .
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akikata keki wakati wa uzinduzi wa Voda shop Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akimlisha keki Mmoja wa wateja wa Vodacom Lilin Potas wakati wa uzinduzi wa Voda shop jijini Mbeya .
Upande wa kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Musana akilishwa keki na Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja wakati wa uzinduzi wa Vodashop Mbeya.
Wafanyakazi wa Vodacom katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa mwenye suti ya kaki wakati wa uzinduzi wa Vodashop Mbeya.
Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja akiongea wakati wakati wa uzinduzi wa Vodashop Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akizungumza mara baada ya kuzindua rasmi Duka la Vodacom jijini Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akimkabidhi simu Mmoja wa washndi wa promosheni inayoendeshwa na Vodacom ,Lilin Potas wakati wa uzinduzi wa Voda shop jijini Mbeya .

No comments: