Mbunge wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Mhe.
Venance Mwamoto akifuatilia mchezo kati ya Yanga Afrika na Simba SC uliofanyika
katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. Hadi dakika 90 zinayoyoma
Simba SC ililala kwa mabao 2 : 0.
Mashabiki wa Timu ya Yanga Afrika wakifuatilia mchezo kati yao na Simba SC
uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam.Hadi dakika 90
zinayoyoma Simba SC ililala kwa mabao 2 : 0. Picha na: Frank Shija,WHUSM
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa
mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Afrika na Simba Sports Club katika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wa Timu ya Simba SC wakifuatilia
mchezo kati yao na Yanga Afrika uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini
Dar es Salaam. Hadi dakika 90 zinayoyoma Simba SC ililala kwa mabao 2 : 0.
Mabeki wa Timu ya Simba wakiokoa mpira wa hatari katika lango lao wakati wa mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imeisha kwa wenyeji Yanga Afrika kuibuka kidedea kwa mabao 2:0.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Naibu Waziri wake Mhe. Annastazia James
Wambura walipokutana katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Afrika na
Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Waziri wa
Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto)walipokutana
katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Afrika na Simba Sports Club
katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa Timu ya Simba Kona kuelekea katika
lango la watani wao Yanga wakati wa mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa katika Uwanja
wa Taifa leo jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imeisha kwa wenyeji Yanga Afrika
kuibuka kidedea kwa mabao 2:0.
No comments:
Post a Comment