Serikali yauagiza uongozi wa mkoa wa Iringa kuwatafutia makazi ya kudumu wananchi waliokumbwa na mafuriko ;https://youtu.be/gTcdMlxP0nc
Serikali yapeleka msaada wa chakula kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani;https://youtu.be/iStTN3678wA
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wamuomba Rais John Magufuli kusaidia upatikanajii wa dawa za watoto katika hospitali za umma; https://youtu.be/Wzx4axGKMks
Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano, Prof Makame Mbarawa amesema serikali itaangalia upya utendaji wa uongozi wa wakala wa ufundi na umeme nchini TAMESA;https://youtu.be/LwvOrwcT9kE
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa raia wa kigeni;https://youtu.be/UT4YsjukAAE
Serikali ya Ujerumani yaikabidhi serikali ya Tanzania msaada wa Ndege ndogo maalum kwa mapambano dhidi ya ujangili nchini;https://youtu.be/f2R1EoicCOU
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe.Paul Makonda kuandaa shindano kwa ajili ya kuwashindanisha wajasiriamali wa wilaya ya Kinondoni; https://youtu.be/fH3P-noGfPY
Serikali yazitaka taasisi za sekta nchini kushirikiana na serikali katika kufikia malengo yao; https://youtu.be/cZ81t0_wqP0
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo yasema itafunga simu zote bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu; https://youtu.be/tA6poe0U-Oo
Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kukutana na wadau wa michezo nchini jumatano ya wiki hii kujadili changamoto zinazoikabili sekta ya michezo nchini;https://youtu.be/_jL0kwC4YMw
Shirikisho la soka nchini TFF latangaza viingilio vya pambano la watani wa jadi baina ya Yanga na Simba litakalofabyika siku ya jumamosi ya tarehe 20 katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/icmceCmbuoo
Serikali visiwani Zanzibar yawakata wananchi kujihadhari na kushiriki katika vitendo vitavyosababisha uvunjifu wa amani visiwani humo; https://youtu.be/bc0QOyRYAm8
Baraza la wazee wa chama cha NRA yapinga kauli ya mgombea urais wa Zanzibar kupitia cha hicho, Seif Ali Iddi kuwa chama hicho hakitashiriki uchaguzi mkuu wa visiwani Zanzibar;https://youtu.be/Y_igNCu8EBM
Waziri wa elimu Prof. Ndalichako asitisha mkataba wa mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu kufuatia udhaifu wa kiutendaji.https://youtu.be/HhuabN7ctE8
Mtu mmoja afariki dunia huku kaya zaidi ya mia tisa zikiathirika kutokana na mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Lindi. https://youtu.be/09ntIOICE3E
Nchi tano za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo zaanza kufanya mazungumzo ya kuunganisha reli ya kati ya Tanzania ili iweze kufika katika mataifa hayo ili kupunguza changamoto zinazoikabili sekta ya uchukuzi afrika mashariki. https://youtu.be/6xiEBni76_k
Zaidi ya kaya 98 wilayani Uvinza mkoani Kigoma hazina mahala pa kuishi kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na kufurika kwa mto Kilanga unaomwaga maji yake ziwa Tanganyika.https://youtu.be/9zYqHfBCC00
Naibu waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo atembelea soko la Kariakoo na kubaini madudu kadhaa hasa kwenye ukusanyaji wa mapato, huku akitoa maagizo kwa viongozi wa soko hilo.https://youtu.be/nfQl5LwAqOw
No comments:
Post a Comment