Mganga
Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akizungumza jambo na
wafanyakazi wa kituo hicho na wadau Dar es Salaam waliofika katika uzinduzi huo wa
kituo kipya cha kisasa kinachotoa huduma mbalimbali za Upasuaji
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wapili kulia)
akiangalia Daftari la mahudhurio na kuona namba kubwa ya wagonjwa
inayoongezeka kwa wanawake ni ya watu wenye magojwa ya UTI, kushoto ni
Mkurugenzi wa Kituo cha JPM
Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akimpa pole
mgojwa Umrat Haroub aliyetoka magomeni kufata huduma katika kituo hicho
kilichopo Kimanga Tabata Jijini Dar es Salaam
Mganga
Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa pili kushoto)
akikata utepe katika uzinduzi wa Kituo cha Jerome Peter Mkiramweni
(JPM), kilichopo Tabata Kimanga Dar es Salaam . wakwanza kushoto ni
Mganga Mkuu wa Upasuaji wa kituo hicho Dtk. Amiri Ally Binzoo na watatu
kulia ni Mkurugenzi wa kituo hicho cha JPM, Dkt, Jerome Mkimwani .
Picha
ya wafanyakazi wa kituo cha kisasa na mgeni rasmi ambaye ni Mganga
Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa nne kulia)
PICHA NA UJIJIRAHAA BLOG
No comments:
Post a Comment