Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akimkabidhi, mwalimu mkuu, Bi Taifa Ahmed mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa ajili ya kununua vifaa vya wanafunzi wenye ulemavu wa uoni wa shule ya msingi Kisiwandui.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akisaini barua ya kampuni ya Zantel kwa ajili ya kuanza kulisaidia darasa la walemavu wa uoni wa shule ya msingi Kisiwandui ambapo pia walikabidhi msaada wa jumla ya shilingi milioni 20. Waanaotazama kutoka ulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kisiwandui, Bi Taifa Ahmed, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Elimu, Bi Safia Ali, na mwisho kushoto ni Shinuna Kassim, Mkurugenzi wa Mipango ya Biashara wa Zantel.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akimkabidhi, Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Bi Taifa Ahmed barua inayoonyesha nia ya kampuni ya Zantel kusaidia shule ya Kisiwandui. Anayetazama katikati ni Mkurugenzi wa Elimu, Bi Safia Ali. Zantel pia walikabidhi shilingi milioni 20 kwa ajili ya kununua vifaa vya walemavu wa uoni.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akisaini barua ya kampuni ya Zantel kwa ajili ya kuanza kulisaidia darasa la walemavu wa uoni wa shule ya msingi Kisiwandui ambapo pia walikabidhi msaada wa jumla ya shilingi milioni 20. Waanaotazama kutoka ulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kisiwandui, Bi Taifa Ahmed, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Elimu, Bi Safia Ali, na mwisho kushoto ni Shinuna Kassim, Mkurugenzi wa Mipango ya Biashara wa Zantel.
Mkurugenzi wa Elimu, Bi Safia Ali akizungumza wakati wa hafla ya kupokea msaada wa jumla ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampuni ya Zantel kwa ajili ya kununulia vifaa vya wanafunzi wa ulemavu wa macho.
Mkurugenzi wa Zantel, Benoit Janin akizungumza wakati wa hafla ya kupokea msaada wa jumla ya shilingi milioni 20 kutoka kwa kampuni ya Zantel kwa ajili ya kununulia vifaa vya wanafunzi wa ulemavu wa macho.
Mwanafunzi, Mbarouk Nassor akitoa shukrani kwa kampuni ya Zantel baada ya kupokea msaada wa shilingi milioni 20 kwa ajili ya kununua vifaa vya kuwasaidia kusoma.
Uongozi wa kampuni ya Zantel pamoja na walimu na wanafunzi wa shule ya Kisiwandui katika picha ya pamoja baada ya kupokea msaada wa shilingi milioni 20 kwa ajili ya kununua vifaa vya walemavu wa uoni wa shule hiyo.
No comments:
Post a Comment