Baadhi ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.

Kulia ni Dkt.Peter Maziku ambae ni Daktari katika kitengo cha CTC katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure akiwa pamoja na Dkt.Charles Ludibuka ambae ni Mfamasia katika Hospitali hiyo Sekour Toure walishiriki zoezi la usafi katika Mazingira ya Hospitali hiyo.
Katika picha wakichoma uchafu baada ya usafi.
Baadhi ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Hapa wakiwa katika barabara ya Machemba Jijini Mwanza ambayo inatoka na kuingia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sour Toure.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016. Hapa wakiwa katika barabara ya Machemba Jirani na Kituo cha mafunzo ya Lugha mbalimbali cha International Language Training Centre Jijini Mwanza ambayo inatoka na kuingia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sour Toure.

Wanafunzi pamoja na Watumishi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM tawi la Mwanza, pia nao walishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
No comments:
Post a Comment