Rais wa Zanzibar Dkt. Mohammed Shein ahudhuria mazishi ya aliyekuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa marehemu Nyonje Pandu. https://youtu.be/z2o2kQDMqks
Bunge la 11 la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limeanza kikao chake cha kwanza hii leo mjini Dodoma. https://youtu.be/6EzQPc-oGqU
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imeomba kibali cha kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wa kesi 36 za rushwa. https://youtu.be/w6HvSbM8LXg
Serikali mkoani Mwanza imeziagiza kampuni zilizopatiwa dhamana ya uwakala wa uzoaji taka kuzingatia kanuni za makubaliano ya uzoaji taka. https://youtu.be/1UA4RAOmKyg
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Willium Lukuvi aiagiza TAKUKURU kuwakamata viongozi na watendaji waliohusika katika ugawaji wa shamba la kijiji cha Mlilingwa mkoani Morogoro. https://youtu.be/tC43lr9BVsg
Serikali imesema inakusudia kufanya marekebisho ya sheria ya mfuko wa afya ya jamii kutoka hiari na kuwa Lazima. https://youtu.be/Z7S3Bq2hXUs
Serikali imeshauriwa kuanza kutafuta njia muafaka ya utaratibu wa kutoa mikopo kuanzia ngazi ya shule za msingi. https://youtu.be/lIfXHL9am5I
Kamati ya mashindano ya Olimpiki nchini Urusi imewafungia wanariadha wake 4 kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kusisimua misuli michezoni. https://youtu.be/00CRvTKpyAo
Waziri mkuu Kassim Majaliwa awataka wabunge kuleta hoja zenye mashiko zitakazosaidia kuleta maendeleo; https://youtu.be/N5F_k6oXODc
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU yatangaza vita dhidi ya rushwa na ufisadi nchini; https://youtu.be/UCOTuAjwUVY
Kaya Zaidi ya 180 wilayani Kilwa hazina makazi kufutia nyumba zao kujaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani humo; https://youtu.be/rqcXsypT_18
Jumuiya ya wafanyabiashara yampongeza Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anaoifanya ya ukusanyaji wa mapato; https://youtu.be/1QXXJw5b6Es
Rais John Magufuli awataka watanzania kuwa na desturi ya kusoma vitabu ili kukuza maarifa; https://youtu.be/B_oy78wmgWk
Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF latoa ufafanuzi juu ya mabadiliko ya ratiba ya ligi kuu Tanzania bara; https://youtu.be/pnSgtffan3E
Kijana mmoja aliyeamua kutembea kwa miguu kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kwa lengo la kuunga juhudi za serikali ya awamu ya tano awasili mkoani Singida;https://youtu.be/BwMfmw-nAb4
Mahakama kuu kitengo cha ardhi yatoa kibali kwa wahanga wa bomoabomoa katika manispaa ya kinondoni kufungua kesi ya msingi; https://youtu.be/0Xah_S5oS3E
Serikali ya Burundi yajitetea juu ya madai ya ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali hiyo; https://youtu.be/1FPAT6bbk-A
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA chalaani kutolewa nje ya kikao kwa mbunge wa jimbo la Kilombero anayekiwakilisha chama hicho;https://youtu.be/RDXZTqBqLb8
Taasisi ya kupamba na rushwa TAKUKURU yasema iko katika hatua ya mwisho ya uchunguzi wa kesi kubwa za rushwa; https://youtu.be/vO2y6uZQ8HY
Baadhi ya wananchi wa Mkulanga mkoani Pwani wavamia pori lililotelekezwa kwa muda mrefu kwa lengo la kuweka makazi ya kudumu; https://youtu.be/nUstYjjZfJY
Timu ya Simba yakanusha taarifa zilizoenea kuwa inampango wa kumwajili Kim Paulsen kuwa kocha wa timu hiyo; https://youtu.be/s-Afcp8KnRQ
Uongozi wa klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza yakanusha taarifa kuwa yamruhusu kocha Louis Van Gaal kujiuzulu; https://youtu.be/6Afgklnj3Lk
No comments:
Post a Comment