Wednesday, January 13, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV:  Baadhi ya wakazi wa Mbalali mkoani Mbeya hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mvua. https://youtu.be/69PQmPWAksQ
 SIMU.TV:  Rais wa Zanzibara Dkt. Mohammed Shein amethibitisha kufanyika kwa marudio ya uchaguzi mkuu baada ya uchaguzi huo kufutwa mwaka jana. https://youtu.be/k-RvQD3gR0M
 SIMU.TV:  Wananchi wa Serengeti mkoani Mara wameulalamikia uongozi wa pori la Ikorongo kwa kushindwa kudhibiti wanyama wanaovamia makazi ya watu.https://youtu.be/DxAFTrIsn8k
 SIMU.TV:  Azma ya serikali ya kuchukua mashamba yote ambayo hayajaendelezwa imezua tafrani wilayani Kagera  baada ya wananchi kujigawia ardhi. https://youtu.be/4lq3DZ-eJic
 SIMU.TV:  Fahamu mengi kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka akikujuza kuhusu fainali ya mashindano ya kombe la mapinduzi: https://youtu.be/FmC0sWXjCz0
 SIMU.TV:  sikiliza maoni mbalimbali ya kutoka kwa watanzania wakizungumzia  kuhusu  elimu ya bure na changamoto zake: https://youtu.be/mBOKCP-_xc8
 SIMU.TV:  Yajue mengi kutoka kwa mchambuzi wa michezo akikudadavulia kuhusu tuzo ya Samatta inatoa mafunzo gani kwa watanzania: https://youtu.be/G_rodcrv31g
SIMU.TV:  Jifunze mengi kuhusu utekelezaji wa shughuli za urasinishaji Zanzibar na dhana ya uwezeshaji kwa wanyonge nchini: https://youtu.be/wlxa_5bFuQY
 SIMU.TV:  Fahamu mengi kutoka kwa Wahariri wakikujuza mengi kuhusu faida walizopata wazanzibar katika miaka 52 ya mapinduzi ya Zanzibar: https://youtu.be/IUbMcOyOAm0

No comments: