Saturday, January 9, 2016

SIMU TV: HABARI K UTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV:  Ligi daraja la kwanza Tanzania bara linaendelea wikendi hii kwa michezo 12 itakayochezwa katika viwanja mbalimbali nchini;https://youtu.be/C5PUuHsRGO8   
SIMU.TV:  Fahamu mengi kutoka kwa Kamishna wa tume ya haki za binadamu nchini Tanzania akikufafanulia kuhusu haki za binadamu:https://youtu.be/PoQsD0wXia0 
SIMU.TV:  Kutana na mdau wa masuala ya soka nchini, akikujuza kuhusu mapokezi ya Mbwana  Samatta mchezaji bora wa Afrika kutoka Tanzania:https://youtu.be/sbKikc4M80g 
SIMU.TV:  Fahamu mengi kuhusu maudhui yanayotolewa na vituo mbalimbali vya utangazaji nchini ili kulifikia kundi la vijana: https://youtu.be/mj28hxd_LHc 
SIMU.TV:  Yajue mambo mengi kutoka kwa Rais wa masuala ya ndondi nchini akikufahamisha kuhusu mambo mbalimbali ya mchezo wa ndondi:https://youtu.be/tM73iyurShE 
SIMU.TV:  Huduma za usafiri wa ndege wakati wa usiku katika uwanja wa ndege wa Pemba umekamilika kwa uwekaji wa  taa za kuongozea ndege.  https://youtu.be/FemWiOFDojs  
SIMU.TV:  Naibu wa waziri wa ofisi ya makamo wa rais mazingira Luhanga Mpina ametoa siku 7 kwa NEMC Mbeya kuhakikisha wanapima maji machafu yanayotoka katika kiwanda cha Songwe. https://youtu.be/ZU3bFxJ-PuA    
SIMU.TV:  Waziri na viwanda na biashara Charles Mwijage ayahimiza makampuni yanayomiliki Viwanda kuongeza uwezo wa malighafi inayopatikana nchini.    https://youtu.be/hDBdkHf4etU
 SIMU.TV:  Bajeti ndogo inayotengwa na serikali kwa wakala wa barabara nchini TANROADS imetajwa kuwa ni chanzo cha wakandarasi kutokamilisha kazi kwa muda stahiki.  https://youtu.be/EDDr6qq6uPQ

No comments: