Monday, January 11, 2016

NAIBU WAZIRI MASAUNI AWAONYA WANAOCHAFUA SERIKALI KUHUSIANA NA OPERESHENI KAMATA WAHAMIAJI HARAMU.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akisalimiana na Naibu Kamishna wa uhamiaji Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar zilizopo katika eneo la Kilimanim, kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu.
 Naibu Waziri wa Mmambo ya Ndani ya Nnchi Hamad Masauni akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Kamishina Mkuu wa Uhamiaji Zanzibar alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika ofisi hizo zilizoko Kilimani Zanznibar.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Visiwani Zanzniabr waliokuwa wakisubiri husduma katika ofisi za Uhamijia  alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji  zilizoko Kilimani Zanznibar.
 Naibu wAZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akisikiliza maelezo ya hatua za maombi ya hati za kusariria  kutoka kwa afisa wa udhibiti wa hati za kusafiria katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar alipofanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujione shughuli mbalimbali za kiutendaji 
 Naibu WaZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni (kushoto) akiongozana na Kamishna wa Uhamijai Zanznibar , Johari Sururu (Kulia) kuelekea katika chumba cha kuhiofadhi kumbumbuku za waombaji hati za kusafiria. Naibu huyo alitembelea ofisi hizo kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji  katika ofisi hizo
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akikagua jarada lenye kuonyesha kumbukumbu za waombaji wa hati za kusafiria kutoka katika familia yake, aliyesimama ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzniabr Johari Sururu akifatiwa na Naibu Kamishna wa Utawala na fedha. Masauni alifanya ziara hiyo ya kikazi kwa ajili ya kujionea shighuli mbalimbali za kiutendaji.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akizungumza na watendaji wakuu wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar alikofanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji. Waziri huyo ametoa onyo kwa maafisa wote wanaotumia zoezi la kukamata wahamiaji haramu kinyume na agizo la serikali kuwa watachukuliwa hatua za kinidhamu.
Kamishna wa Idara ya Uhamiaji zanzibar, Johari Sururu akitoa taarifa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni aliyefanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika ofisi za Uhamiaji zilizopo eneo la Kilimani Zanznibar.
(IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO MAMBO YA NDANI YA NCHI).

No comments: