Tuesday, January 26, 2016

Mijadala katika kikao cha 11 cha Bunge jijini Dodoma leo

SIMU.TV: Hii ndiyo tathmini ya hali ya chakula katika kaya mbalimbali nchini na juhudi za serikali katika  kunusuru kaya hizo kukumbwa na njaa; https://youtu.be/vpw8BHQMeMM 
 SIMU.TV: Serikali yatolea ufafanuzi juu ya tathmini ya udhibiti wa majanga ya maji pamoja na tatizo la ajira kwa wahitimu wa vyuo;https://youtu.be/lWMPQInPCnk 
 SIMU.TV: Waziri Suleiman Jafo akielezea mikakati ya serikali katika kuhakikisha inatokomeza tatizo la maji nchini https://youtu.be/iqaKwtiwVds 
 SIMU.TV: Je serikali ina mpango gani juu ya watoto wa mtaani wanaoishi katika mazingira hatarishi na wanaokosa haki zao za msingi;https://youtu.be/M64k9Cb-Kuo
 SIMU.TV: Kipi bora kati ya uhai wa tembo na maisha ya binadamu? Ndivyo waziri wa maliasili anayotegwa na mbunge wa Serengeti https://youtu.be/vOh7sBw-BnY 
 SIMU.TV: Hivi unafahamu faini anayolipa muwindaji haramu wa tembo ukilinganisha na fedha serikali inayolipa kama kifuta machozi kwa mtu aliyevamiwa na tembo? https://youtu.be/TT0cIssly1g
 SIMU.TV:  Sikiliza hapa mikakati ya serikali juu ya matumizi ya ardhi ili kukabiliana na migogoro ya ardhi nchini; https://youtu.be/7nI-yQq8eYU 
 SIMU.TV: Mh.Anna Lupembe aihoji utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sumbawanga hadi Mpanda kwa kiwango cha lami https://youtu.be/Q5bSGIIQOqc 
 SIMU.TV:  Waziri wa Ardhi Mh. Lukuvi akijibu swali na huku akifafanua kuhusu mbinu zilizowekwa na serikali katika kutatua  migogoro ya ardhi https://youtu.be/jj0Utrk6Kzo
 SIMU.TV:  Suala la malipo ya fidia kwa wananchi waliopisha upanuzi wa mgodi Nyamongo Accacia watua  bungeni; https://youtu.be/8EyT7Z76ua0
 SIMU.TV:   Waziri Husein Mwinyi akikabili hoja ya Mh.Mbowe juu ya suala la kupeleka majeshi Zanzibar kwa masuala ya uchaguzi; https://youtu.be/N5X5Vzt6U1g
 SIMU.TV:   Mh.Massay aitaka serikali kutolea ufafanuzi kuondoshwa kwa kituo cha polisi Mburu licha ya kukithiri kwa wizi wa mifugohttps://youtu.be/n6YhChJALOk 
 SIMU.TV:  Naibu waziri wa mambo ya ndani Mh.Masauni akijibu maswali na kufafanua kuhusu jinsi matendo ya uharifu yalivyokithiri nchin https://youtu.be/ZeC18Xhtlwc 
 SIMU.TV:  Naibu waziri wa elimu na ufundi Mh.Stella Manyanya akielezea kuhusu utoaji wa mikopo na ruzuku  kwa wanafunzi wa elimu ya juu https://youtu.be/Wx4BbkRVb44
 SIMU.TV:   Suala la mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na elimu bure limefafanuliwa kwa undani na naibu waziri wa elimu bungeni;https://youtu.be/yrZZkt0S530

No comments: