Wednesday, January 6, 2016

Maulidi ya Mfungo Sitta Muembetanga Kwa Karagosi Zanzibar Yafana

Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
  
Wasomaji wa Maulidi  ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
Wageni waalikwa mbali mbali wakiwa katika Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.

No comments: