Saturday, January 23, 2016

MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA LA MAJI YA DAWASCO YAENDELEA KAWE-TEGETA.

Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta .
Matengenezo ya Bomba hili ndiyo yaliyopelekea kuzimwa kwa mtamb wa uzalishaji maji wa Ruvu Chini ambapo kwa muda wa saa 48 huduma ya maji itakosekana katika jiji la Dar Es Salaam na Bgamoyo.
Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza juu ya matengemezo hayo alipotembelea katika eneo hilo kujionea shughuli zinavyoendelea.

Imeandaliwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.

No comments: