Saturday, January 16, 2016

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


SIMU.TV:  Wavuvi katika ziwa Victoria wametakiwa kuacha kutega nyavu za samaki katika  njia zinazotumika na meli; https://youtu.be/XkXgj4VDeX4
 SIMU.TV:  Mama na baba lishe Mwanza wapewa siku 3 kufanya marekebisho katika maeneo wanayotolea huduma zao za chakula; https://youtu.be/kz26u2X_-VI  
 SIMU.TV:  NHIF yahamasisha halmashauri za wilaya nchini kutekeleza agizo la kutoa matibabu bure kwa wazee katika halmashahuri hizo; https://youtu.be/frH0Ot4CA-w 
SIMU.TV:  Serikali mkoani Dodoma imewaonya watendaji watakoshindwa kusimamia kikamilifu fedha zilizotolewa kwajili ya kutoa elimu bure, https://youtu.be/bqsJaevnAMw
SIMU.TV:  Kusuasua kwa timu kuchukua fomu za ushiriki kwailazimisha ligi ya mkoa wa Dodoma kusogezwa mbele;  https://youtu.be/Vec8Jl68MGQ 
SIMU.TV:  Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein amuapishwa mshauri wa rais masuala ya utamaduni na kuteua watendaji wengine wa serikali; https://youtu.be/ilNL4x3sp-4
SIMU.TV:  wasikilize wadau wa habari wakikujuza mengi kuhusu kwa nini magazeti mbalimbali yameandika Zanzibar hali ni tete: https://youtu.be/XJVBl-QQXDI
SIMU.TV:  Kutana na miss Universe 2015 Loraine Mariott pamoja na mwandaaji Mwanakombo Salim wakikujuza kuhusu mashindano ya miss universe: https://youtu.be/nRW_Zuwbw_o
 SIMU.TV:  Fahamu mambo kadha wa kadha kutoka kwa wadau wa habari  wakikujuza kuhusu utendaji wa vyombo vya habari vya kieletroniki; https://youtu.be/_2qWBsGQEdU
 SIMU.TV:  Yajue mengi kutoka kwa Mkurugenzi  wa idara ya maji ZAWA kutoka visiwani Zanzibar akikufahamisha kuhusu sekta ya maji: https://youtu.be/r_YBwdMlmME

No comments: