Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii
Friday, January 1, 2016
Christian Bella Aweka Rekodi Mpya Dar Live!
Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.Malaika Band wakifanya yao.Mashabiki wakiserebuka...wakichukua matukio muhimu ya shoo hiyo kwa simu za mkononiNi hatariBella akiwaongoza Malaika Band kutumbuiza ukumbini hapo...shoo si ikanoga sasaBella akitamba jukwaaniMashabiki wakinogewa na shoo ya Malaika BandBella na jukwaa, Bella na mashabikiKama kawaida yao Malaika Band wakikinukisha jukwaaniMashabiki wakifuatilia shoo hiyoShabiki akipanda jukwaani kucheza na Bella
Dada huyu akikata mauno wakati wa shoo hiyo Shabiki na Bella jukwaani Bella akiendelea kuwasha motoShabiki akimzawadia Bella
Zawadi zikimiminikaShoo ikibamba
Shangwe za mwaka mpya Mashabiki wakipanda jukwaani Shoo ikinogaBella akicheza na mashabiki wake Shoo ikinoga Bella na mashabiki jukwaaniMashabiki wakizidi kupagwa.
No comments:
Post a Comment