Friday, December 11, 2015

Wafanyakazi wa Benki ya NBC walivyoadhimisha Uhuru Day

Meneja wa Tawi la Corporate la Benki ya NBC, Geoffrey Ndossa (kushoto), na Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo wakifanya usafi eneo la ufukwe wa salender jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi wa NBC waliungana na watanzania wengine kuitikia wito wa serikali ya awamu ya tano kusafisha mazingira
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC wakifanya usafi eneo ufukwe wa salander jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi hao waliungana na watanzania wengine kuitikia wito wa serikali ya awamu ya tano kusafisha mazingira.
Wafanyakazi wa benki ya NBC wakifanya usafi kuadhimisha Siku ya Uhuru ili kuitikia wito wa serikali ya awamu ya tano wa kusafisha mazingira wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika.
Wafanyakazi wa benki ya NBC wakionekana kufurahia kampeni ya usafi wa maingira kuadhimisha Siku ya Uhuru kama ilivyoagizwa na uongozi wa serikali ya awamu ya tano.
Wafanyakazi wa NBC wakiendelea kufanya usafi katika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa benki ya NBC wakifanyaa usafi hapa ni eneo la ufukwe wa bahari karibu na daraja la salander jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo watanzania nchini kote waliiadhimisha kwa kufanya usafi wa mazingira.

No comments: