Wednesday, December 23, 2015

Rais Magufuli Awasha Moto Shirika la Reli



Serikali yasitisha zoezi la bomoa bomoa katika eneo la masimbazi jijini Dar es salaam hadi Januari 5 ilikutoa fursa kwa watu kuhamisha vitu vyao. https://youtu.be/_3SQgsbgMwY
Watendaji wa wizara ya maendeleo ya kilimo, mifugo na uvuvi idara ya mifugo wapewa siku 28 kutoa maelezo ya kina juu ya kugawiwa kwa eneo la mnada wa Pugu kwa ajili ya makazi kinyume cha sheria. https://youtu.be/aJBUbJyogCI

Wakazi zaidi ya 400 wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wako hatarini kukumbwa na baa la njaa kufuatia ekari zaidi ya 150 za mahindi kufyekwa na askari wa maliasili kwa madai ya kuvamiwa eneo la msitu. https://youtu.be/kXx67fXW240
Wakazi wa eneo la Chanika walalamikia uvamizi wa makazi yao na watu wanaodaiwa kushirikiana na baadhi ya wafanayakazi wa wizara ya ardhi. https://youtu.be/rfVl4OQOOzM

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu 2 kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo 156.https://youtu.be/v4QHYTnvcEc

Maafisa usalama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, wamefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kusafirishwa nyara za serikali. https://youtu.be/AEnqWWKooac

Familia moja ya Kinondoni yalalamikia zoezi la bomoabomoa katika manispaa hiyo kwa kusababisha kifo cha baba yao, baada ya nyumba yake kubomolewa. https://youtu.be/Mjn1J5jryQI

Chama cha wananchi CUF Taifa, kimetangaza msimamo wake wa kutokutambua matokeo ya uchaguzi wa meya na naibu meya wa jiji la Tanga. https://youtu.be/5IdgDPe9oWs

Bunge la Burundi kwa kauli moja limekataa kutumwa kwa kikosi cha kulinda amani cha umoja wa Afrika nchini humo.https://youtu.be/oIHYV6Dr5cs
Shirikisho la wamiliki wa shule binafsi na vyuo launda tume ya watu 15 kuonana na naibu waziri wa elimu, sayansi na mafunzo ya ufundi ili kujua mustakabali wa ada elekezi kabla ya shule kufunguliwa mwakani. https://youtu.be/8k-J7u41U3U

Raia wawili wa china wanaotuhumiwa kwa kesi ya kuhujumu umeme katika manispaa ya Bukoba wagonga mwamba baada ya Mhakama kuwanyima dhamana. https://youtu.be/9abDBBfX6IQ


Rais John Magufuli amemsimamisha mkurugenzi mkuu wa kampuni ya rasimali za reli RAHCO kupisha uchunguzi kwa tuhuma inayomkabili; https://youtu.be/SfLJ8hsoIqA

Serikali imeifahamisha jumuiya ya kimatifa kwamba inashughulikia kwa ukaribu tatizo la mgogoro  uliopo visiwani Zanzibar ; https://youtu.be/TuStkxbwnSs

Waziri wa ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. William Lukuvi amesema zoezi la bomoa bomoa kwa jiji la Dar es Salaam limesitishwa kwa muda mpaka tarehe 5.01.2016; https://youtu.be/Nhko1PLYWDw

Rais John Magufuli amekabidhi zawadi za siku kuu za Maulidi,Krisimasi na Mwaka mpya katika mahabusu ya watoto jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/B6eBmUaP8SI

Waziri mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amepiga marufuku matumizi ya chakula cha misaada kupikia pombe;https://youtu.be/oS6Kp4_EE2I

Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Spika wa bunge la Burundi, Reverien Ndikuriyo Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya kisiasa nchini humo; https://youtu.be/6ks0zwpI5-8

Waziri wa nishati na madini Prof.Sospeter Muhongo, afanya ziara ya katika kituo cha huduma kwa wateja cha TANESCO wilayani Nyakato mkoani Mwanza na kubaini utoaji huduma usioridhisha; https://youtu.be/W1ojp5kQtbw

Benki ya biashara ya DCB imetoa msaada wa vitanda vya kujifungulia katika hospitali za Temeke, Amana na Mwananyamala za jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/QzFul68QUL8

Serikali kupitia wakala wa usajili wa biashara na leseni BRELA, umeitaka sekta binafsi kupitia kampuni na taasisi mbali mbali kusaini ahadi ya uadilifu yenye mambo 14 katika kupambana na rushwa na ufisadi nchini; https://youtu.be/-kE1JwDr3o8

Kamati ya nidhamu na haki za wachezaji ya TFF itakutana jumatano ya wiki hii kujadili matatizo ya usajili pamoja na kutatua matatzo mbali mbali ya wachezaji; https://youtu.be/QzH4iWJ297c
Maafisa sita wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za utoroshaji nyara za serikali; https://youtu.be/NNFUnUuNaoI
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na vipande vya meno ya tembo 158; https://youtu.be/p89hZTh687I

Fahamu kuhusu sababu za mauaji ya vikongwe mkoani Shinyanga; https://youtu.be/NGPe2IHSIbs
Wakazi wa Toangoma wilayani Temeke jijini Dar es Salaam wameiomba serikali kuwarejeshea kiwanja chao kwa lengo la kujenga shule; https://youtu.be/ZWPRHIkMYsE
Waziri wa nishati na madini Prof Sospeter Muhongo amesema shirika la TANESCO kamwe halitaondokana na madeni ikiwa litashindwa kuboresha mikataba linayoingia na wawekezaji wake; https://youtu.be/jaMvanCGgg0

Serikali ya Burundi imekanusha taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya kimataifa kuwa serikali ya nchi hiyo imejipanga kutekeleza mauaji dhidi ya kabila la Watusi; https://youtu.be/yWyzQbIARKc

Timu ya Geita Gold ya mkoani Geita imeitandika timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam kwa jumla ya goli 3-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa mkoani Geita; https://youtu.be/-IXbvtLckOk

Inaelezwa baada ya kufungiwa miaka 8 kutohiriki masuala ya soka, Sepp Blatter na mwenzake Michel Platin wamejipanga kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo; https://youtu.be/OIZ79lWbBUk

Waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo amesema shirika la TANESCO kamwe halitaondokana na madeni ikiwa litashindwa kuboresha mikataba linayoingia na wawekezaji wake; https://youtu.be/hAAPSGQ6n9s

Serikali imetoa onyo kwa mkandarasi anayejenga miundo mbinu ya kusafirisha na kusambaza umeme katika mikoa ya Dar es Salaam,Kilimanjaro na Arusha kukamilisha miradi hiyo haraka; https://youtu.be/C9UAGSCBX4M

Shirikisho la mpira wa miguu nchini limevitaka vilabu vya Azam pamoja la Yanga kukamilisha usajili mapema katika kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na kombe la shirikisho; https://youtu.be/7G1kfdarb24

STAR TV:Maandalizi ya michuano ya CHAN yanayoshirikisha nchi 16 yanayotarajiwa kufanyika mwakani nchini Rwanda yamekamilika; https://youtu.be/QzgpLgbEPrY

No comments: