Tuesday, December 15, 2015

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza na uongozi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, alipofanya ziara katika ofisi zao leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanayakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo,wakifuatilia mazungumzo ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa Mkuu wa Press wa TSN Bw.Patrick Eusebio (aliyekaa)alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki(katikati).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisoma gazeti lenye kurasa za matangazo alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akiwa katika ziara ya kiakzi katika ofisi za Kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa TSN wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo,alipofanya ziara ya kikazi ofini hapo leo jijini Dar es Salaam. Picha na Frank Shija,WHVUM

No comments: