Tuesday, December 15, 2015

MAHAKAMA KUU YATOA DHAMANA KWA WATUHUMIWA WATATU WA UHUJUMU UCHUMI WA TRA


Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, aliyekuwa naibu Kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki (Kulia) akiwa na wenzake aliyekuwa Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Habibu Mponezya na Bulton Mponezya wakiwa katika Mahakama Kuu Tanzania jijini Dar es Salaam leo wakisomewa shtaka linalowakikabili  la makosa ya jinai na uhujumu uchumi.

Watuhumiwa watatu wa uhujumu uchumi wakisindikizwa na Polisi wakitoka mahama kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kupewa dhamana.

No comments: