Wednesday, December 30, 2015

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


Kiwanda cha nguo cha Urafiki kipo katika hali mbaya baada ya baadhi ya mashine zake kuibiwa. https://youtu.be/mbDPrYDUn9s
Baadhi ya wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza katika shule mbalimbali mkoani Tabora waripotiwa kuwa na Ujauzito. https://youtu.be/SKrIC3RTpc8

Makamishna wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi watakiwa kuanzisha mfumo wa Tehama ili kurahisisha utatuzi wa migogoro ya ardhi. https://youtu.be/tZLmSIOjWmM

Jeshi la polisi nchini lawashikilia watumishi 7 wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari TPA baada ya kuhusika na upotevu wa Sh. Bil. 47.4 https://youtu.be/GerR-BOCrys

Klabu ya Simba imesema inatarajia kuanza ujenzi wa uwanja wa mazoezi katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam mapema mwakani.  https://youtu.be/G9CmebOsw68 

Mtangazaji mstaafu mashuhuri wa mpira toka Radio Tanzania Ahmed Jongo ahitaji msaada wa matibabu ya maradhi ya miguu na macho. https://youtu.be/RnUhKJ1Nv-Y
TFF limevihimiza vilabu vya Azam na Yanga kuwasilisha mapema majina ya wachezaji watakaoshiriki katika mashindani ya Afrika.  https://youtu.be/HoQveVKhCw8

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imetiliana saini na kampuni ya NCPE ya Iran kwa utekelezaji w mradi wa maji safi na salama. https://youtu.be/3KPQId2xqkM

Fahamu mengi kuhusiana na mkesha mkubwa wa kitaifa utakaofanyika Dec. 31. 2015 kwa ajili ya kuliombea taifa la Tanzania: https://youtu.be/jKWdAse94NI

Yajue mengi yaliyokua yanawasumbua mashabiki wa timu ya simba kuhusu utata uliojitokeza katika club ya simba: https://youtu.be/WMoxlBuTHvE

Msikilize mtaalamu wa masuala ya elimu kutoka chuo kikuu cha Duce akikupa tathmini ya sekta ya elimu katika mwaka 2015: https://youtu.be/8l0P-iqjCQE

Fahamu hapa kuto kwa wadau wa michezo ya jadi wakikujuza jinsi michezo ya jadi isivyopewa kipaumbele: https://youtu.be/rNVvk8sBEtc

Ifahamu sekta ya uvuvi na namna inavyochangia uchumi wa nchi na kungeza pato la Taifa la Tanzania; https://youtu.be/7cYjdLlXz8Y

Jifunze mengi kutoka kwa wataalamu wa masuala ya afya kutoka visiwani Zanzibar wakikuelimisha kuhusu ugonjwa wa kipindupindu: https://youtu.be/do-2y9LYJNw

No comments: