Thursday, November 19, 2015

SIMU TV: MATUKIO KATIKA KIKAO CHA TATU CHA BUNGE

SIMU.TV:  Kikao cha 3 kikiendelea Bungeni huku wabunge wakisubiri kutangazwa rasmi waziri mkuu wa Tanzania; https://youtu.be/Q6-rI_Ib-5A
 SIMU.TV:  Yajue mengi hapa kutoka kwa mwanasiasa mkongwe Mh.John Cheyo akikuchambulia kwa umakini kuhusu maswala ya siasa; https://youtu.be/rchHOrkN91k
 SIMU.TV: Fahamu mengi hapa kuhusiana na uteuzi wa Waziri mkuu wa Tanzania pamoja na Spika wa bunge wa serikali ya awamu ya tano:  https://youtu.be/i8US2De-_AI
 SIMU.TV: Chambua na kuyajua mengi hapa kuhusiana na wanawake wabunge wa viti maalumu jinsi walivyofanya kazi katika awamu ya nne; https://youtu.be/Xo3UPSfs1p4
 SIMU.TV: Yafahamu na kuchambua mengi hapa kuhusiana na maswala ya kiuchumi baada ya vugu vugu la uchaguzi mkuu wa Tanzania; https://youtu.be/8jGdQ5-WLfw
 SIMU.TV: Chambua hapa na ufahamu mengi  kutoka kwa mwanasheria mwanaharakati kuhusu umoja na mshikamano baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania;https://youtu.be/5lGycC9Upfw
 SIMU.TV: Mwanasheria Mkuu wa serikali George Masaju akitoa hoja ya serikali kuwaomba wabunge kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu.https://youtu.be/W9oQu7pkpHM
 SIMU.TV: Mjadala wa wabunge kuhusiana na hoja ya mwanasheria wa Serikali juu ya kumpitisha waziri mkuu mteule Mh.Kassim Majaliwa;https://youtu.be/ehGWnMohpjw
 SIMU.TV: Mh. Magdalena Sakaya (CUF) akijinadi ili kuwania kiti cha unaibu Spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. https://youtu.be/PMle2xADAik
 SIMU.TV: Mh.Tulia Ackson akinadi uwezo wake kwa wabunge ili kuwania nafasi ya unaibu Spika wa Bunge la Tanzania. https://youtu.be/pakb6LtvLQ4
 SIMU.TV: Matokeo ya kura ya kuthibitisha uteuzi wa waziri mkuu ambapo Mh.Kassim Majaliwa amethibitishwa kwa asilimia 73.5; https://youtu.be/0ApU4nMdtA4
 SIMU.TV:  Mh.Dr.Tulia ashinda nafasi ya naibu spika kwa kura 250 ambayo ni sawa na asilimia 71.2 za kura zote za wabunge; https://youtu.be/GBlVsIE6tF8

No comments: