Monday, November 9, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

 Wafanyabiashara mkoani arusha wakumbushwa kuzingatia usafi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu; https://youtu.be/cyySdQKD4T0

Wachimba wadogo wadogo mkoani kagera waitaka serikali kuangalia upya sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ambayo ni ki kikwazo kwao;https://youtu.be/kleNi6hYUiU

Hofu ya uchaguzi mkuu nchini Imetajwa kusababisha kupungua kuja kwa watalii wa nje nchini wakihofia vurugu. https://youtu.be/G9duKAMQrRY

Wakaguzi toka ndani na nje na taasisi za serikali wafurahishwa na mafunzo waliyopatiwa kwani yataongeza tija katika kazi zao za ukaguzi.https://youtu.be/htloKTOxl3M

Mkuu wa wilaya ya Arusha awataka wakazi wa wilaya hiyo kuzingatia kanuni za afya ili kujikinga na kukomesha ugonjwa wa kipindupindu. https://youtu.be/OKiKkXELLFI
   
Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini waagizwa kuweka mpango maalum wa kuwaendeleza watumishi wao ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.https://youtu.be/3DoUYvMX_08
  
Mkurugenzi wa hidhi za taifa hapa nchini asema TANAPA itaendelea na jitihada za kupambana na ujangili nchini ili kendeleza uhifadhi nchini.https://youtu.be/Q2OlWtUqnlk

Chama cha mapinduzi mkoani tabora kimewaomba wananchi kuondoa tofauti zao za vyama na kujikita katika utendaji kazi; https://youtu.be/u6Yrzec3HSc

Wanachama wa chama cha waandishi wa habari nchini wamefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wao; https://youtu.be/wLbvLhGWkSM

Klabu ya TP Mazembe imenyakuwa taji la ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya tano mara baada ya kuifunga klabu ya USM Alger hii leo. https://youtu.be/lyH8li5tDqs

Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wavanya uvamizi kwenye duka la Mpesa mjini hapo na kutoweka fedha huku wakijeruhi kwa risasi.https://youtu.be/22yjfKmJOK0

Mauaji ya walemavu wa ngozi na vikongwe yanayotikisa kanda ya ziwa yaelezwa kuwa yatakwisha endapo Raisi John Magufuli atashirikiana na waganga wa tiba asilia.https://youtu.be/x1YcoMNUeaQ

Baadhi ya wakazi wa Dar es salaam wapokea kwa furaha uamuzi wa raisi Dr.Magufuli kufuata safari za nje za wafanyakazi wa serikali. https://youtu.be/2C0daapBLBc

Wakazi waishio mabondeni jijini Dar es salaam wahofia kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kufuatia kutokuwepo kwa miundombinu ya maji taka.https://youtu.be/SJEbitKE98U

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam walalamikia kupanda kwa bei ya nyama jambo ambalo linawaathiri watumiaji wa kitoweo hicho. https://youtu.be/wlCSIB4_KTg

No comments: