Wednesday, November 4, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Nyumba zaidi ya 80 mkoani Dodoma zime ezuliwa na nyingine kubomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali. https://youtu.be/ZfkwdJK5BHM 

Wakazi wa kata ya Idodi mkoani Iringa wakosa makazi na chakula kufuatia mvua kubwa iliyoamabana na upepo mkali. https://youtu.be/mwp60xWTfR0  

Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na wananchi wafanikiwa kuokoa maiti ya mtu mmoja ikiwa inaelea kwenye maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha jijini humo.https://youtu.be/UrstXBczrD0  

Serikali yakanusha uzushi wa kifo cha raisi mstaafu Benjamini Mkapa huku akisisitiza yu mzima na mwenye afya tele. https://youtu.be/OVTW1j32i0E   

Wazazi wa watoto wa shule ya sekondari ya wasichana ya Tabora wachangia kiasi cha shilingi milioni 48 kufanikisha ujenzi wa uzio wa shule hiyo ili kuwanusuru watoto wao kuvamiwa na vibaka. https://youtu.be/fWmGgj9bQpw  

Viongozi na wageni kutoka mataifa mabalimbali waanza kuwasili nchini ili kushuhudia uapishaji wa raisi mteule Dr.Magufuli hapo kesho. https://youtu.be/kZholQyusYI  

Mwili wa mkazi mmoja aliyesombwa na mafuriko kufuatia mvua kubwaMkoani Mwanza akutwa akilea juu ya maji. https://youtu.be/rlRHbHDYKpQ   

Wananchi na wafanya biashara mkoani Morogoro wampongeza raisi Mteule Dr.Magufuli kufuatia ushindi wake huku kesho akitegemewa kuapishwa.https://youtu.be/w0ZnG6iYTwU

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wamuomba raisi mteule Dr.Magufuli kuacha manbo yote yalitokea kabla ya kampeni na badala yake kuwaunganisha watanzania.https://youtu.be/MFXYxwZ-src

Raisi Kikwete akutana na Mgombea uraisi wa CUF Zanzibar Maalim Seif ikulu jijini Dar es salaam kuzungumzia hali ya kisiasa ya Zanzibar. https://youtu.be/Ab93Gfu8F1g  

Zaidi ya wakazi 60 mkoani Ruvuma hawana mahali pa kuishi na chakula baada ya nyumba zao kubomolewa na mvua iliyoambatana na upepo mkali.https://youtu.be/I4oG70fe754

Baraza la mitihani la Taifa Necta latangaza kuwa mitihani ya kidato cha 4 itaendelea hapo kesho licha raisi Kikwete kutangaza mapumziko. http://simu.tv/elFUAXfv
Nyumba zaidi ya 80 mkoani Dodoma zime ezuliwa nyumba zao na nyingine kubomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiwa na upepo mkali. http://simu.tv/C4C8UHZ

No comments: