Jiji la Dar es salaam laelezwa kuzidi kughubikwa na hali ya uchafu unaombatana na maji taka yaliyotapakaa karibu na maeneo ya biashara jambo linalotishia afya za wakazi wa jiji hilo; https://youtu.be/hi5laDjYaPo
Chama cha wachimbaji madini ya vito katika eneo la Mererani chaibuka na kupinga kauli ya kamishina wa madini iliyotolewa hivi karibuni huku wakidai itasababisha migogoro zaidi ya uchimbaji; https://youtu.be/JhZYz0TNHww
Shirika la viwango Tanzania TBS, lavifungia viwanda viwili vya uzalishaji mabati vya jijini Dar es salaam kufuatia utengenezaji wa bidhaa zilizo chini ya kiwango;https://youtu.be/HUlrYMUAI2o
Baada ya Mhe. Kassim Majaliwa kuteuliwa kuwa Waziri mkuu,baadhi ya wafanyabiashara wampongeza huku wakitoa wito juu ya ukuzaji wa viwanda nchini;https://youtu.be/-jwR8Hy1tkw
Baadhi ya watumishi waliofanya kazi na Waziri mkuu mteule, Mhe.Kassim Majaliwa, watoa pongezi na kuelezea imani yao juu ya utendaji kazi wake;https://youtu.be/CIT7ovsm4Aw
Vyama vya siasa nchini vyatakiwa kuwekeza kwa wanachama wake kwa kuwaandaa viongozi wake katika elimu na maadili ; https://youtu.be/aiV9ZY4KJGM
Mtazame Producer Nahreel Akizungumzia Ujio Wa CMEA Na Faida Zake Katika Mziki Wa Tanzania; https://youtu.be/LUTIlyKePWU
Baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge, Dr.Ackson Mwansasu aelezea juu ya uteuzi wake huku pia akibainisha malengo yake; https://youtu.be/fyCwBxK4n-M
Waziri mkuu mteule wa serikali ya awamu ya tano,aongea machache baada ya uteuzi wake huku akieleza matarajio ya watanzania walio wengi;https://youtu.be/Tjp3EmB1i6U
Askofu wa kanisa katoliki wa jimbo la Bukoba atoa maoni yake juu ya uteuzi wa waziri mkuu, Mh.Kassim Majaliwa. https://youtu.be/86O_QrmQhSk
aadhi ya wabunge wa bunge la 11 watoa maoni tofauti juu ya uteuzi wa waziri mkuu mteule,Mh.Kassim Majaliwa; https://youtu.be/Me_j9S8HhcE
Wasifu wa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya 5 watolewa kwa undani huku baadhi ya nyadhifa zake zikibainishwa; https://youtu.be/f91-BjZRYME
Baada ya uteuzi wa Dr. Tuli Ackson hatimaye ahojiwa na kuelezea historia yake tangu shule ya msingi mpaka alipofikia hivi sasa; https://youtu.be/bJ-qTB9-AUc
Kufuatia mipango ya UKAWA kutaka kupinga uhalali wa Raisi wa Zanzibar kuhudhuria Bunge hapo kesho, baadhi ya wabunge wa CCM wakikemea hatua hiyo na malengo yao; https://youtu.be/aWMUmyWF2wc
Waziri mkuu mteule Mhe.Kassim Majaliwa amesema serikali yake itasimamia maendeleo ya michezo nchini; https://youtu.be/Wwy9tDVz85s
Shirika la viwango nchini TBS limekifunga kiwanda cha mabati cha Snow Leorpad cha jijini Dar es Salaam kwa kutengeneza mabati yasiyo na kiwango;https://youtu.be/z5yW9eAOINw
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Singida wakati akijaribu kumpora polisi silaha; https://youtu.be/xv0QnhXQsno
Wananchi katika wilaya ya Tukuyu mkoani Mbeya wameunga mkono uteuzi wa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa naibu Spika wa bunge la 11;https://youtu.be/SN3hIaUhZ74
Mfumo wa kilimo cha Makinga Maji unatarajiwa kuanzishwa mkoani Simiyu kama sehemu ya kupambana na balaa la njaa; https://youtu.be/Z4tZLQBZIaA
Mrembo wa Tanzania mwaka 2014/15 Lilian Kamazima amekabidhiwa bendera ya taifa kuelekea China kushiriki shindano la mrembo wa dunia;https://youtu.be/33aIPS0y2gk
No comments:
Post a Comment