Thursday, November 19, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Watoto wawili wa familia moja wakazi wa mkoani Singida wamefariki mara baada ya kuangukiwa na nyumba kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. https://youtu.be/E4vbul_POEc

Mkuu wa wilaya ya Tarime amewataka viongozi wa halimashauri ya walayani humo kuacha siasa maofisini badala yake wawajibike ipasavyo.https://youtu.be/WeGWoXpvFa8

 Bodi ya Korosho nchini imesema itaendelea kutoa asilimia 7 ya ushuru  wa mauzo ya Korosho nje ya nchi kwa lengo la kuimarisha shughuli za utafiti wa zao hilo; https://youtu.be/X4SDodiqSxQ

 Inaelezwa kuwa mauzo ya hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam yaanza kuongezeka baada ya kushuka wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania;https://youtu.be/sketAaFAyPw

Mfuko wa pensheni wa PSPF imeingia makubaliano na mfuko wa bima wa  taifa wa NHIF kwa lengo la kutoa bima ya afya kwa wananchama wa PSPF.https://youtu.be/CDoSmMTvtIY

Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini,Bwana Jamal  Malinzi amewataka watanzania kuwa wavumilivu na timu yao ya tifa,Taifa Stars.https://youtu.be/zEOIV3pSjxg

Wabunge wateule wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania wamemtaka waziri mkuu ajaye kusimamia serikali ipasavyo;https://youtu.be/pf3wnk-ZIfU

Serikali ya manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imepiga marufuku uuzaji wa viwanja kiholela kwa lengo la kuepusha migogoro ya ardhi.https://youtu.be/seBn8GURMpE

Inaelezwa kuwa hukumu inayomkabili katibu wa jumuiya za kiislamu Tanzania Sheikh Issa Ponda imeharishwa adi tarehe 30 mwezi wa 11 mwaka huu.https://youtu.be/Y29MTgmOKV8

Serikali kupitia wizara ya nishati na madini imeliagiza shirika la umeme TANESCO kuimarisha kitengo chake cha ukaguzi kuongeza mapato.https://youtu.be/VfxKyrTqTuI

Raisi wa TFF amesema kipigo ilichokipata Taifa Stars haikihusu uongozi wake kwani TFF imewapa wachezaji kila kitu wanachokita; https://youtu.be/afJ-tr4QmbI

Klabu ya Simba imetangaza kuwaacha wachezaji wawili katika dirisha hili dogo la usajili. https://youtu.be/JZEI5I_m4tY

 Taratibu za kukabidhi jina la waziri mkuu bungeni zatolewa ufafanuzi na mkuu wa kitengo cha habari,elimu na mawasiliano cha Bunge. https://youtu.be/NlIfe1rLAN8

 Kitendawili cha wawania kiti cha naibu spika chafikia patamu baada ya wanawake wawili kuwekwa hadharani. https://youtu.be/MHLVC72sWzc

Makamo wa Raisi wa Tanzania Bi.Samia Suluhu aapa kupambana na uzembe hasa katika suala la utendaji serikalini. https://youtu.be/uoyVms8ey0w

Tanzania yaelezwa kushika nafasi ya kwanza duniani kwa kuzalisha korosho bora lakini cha kusikitisha ni kwamba Tanzania huuza korodho ghafi nje ya nchi.https://youtu.be/LAAjTzlT9Fc

Shamra shamra zaendelea kutawala katika viwanja vya bunge huku baadhi ya wabunge wakipongezwa na wageni na familia zao.https://youtu.be/275wNDk17j4

Mwanasheria mkuu wa serikali atoa ufafanuzi juu ya hoja na mambo mbalimbali yaliyoibuliwa na viongozi wa UKAWA kabla ya raisi Magufuli kuhutubia bunge. https://youtu.be/Fjh_jVY3uEg

Saa chache zijazo jina la atakaye kuwa waziri mkuu wa 11 wa Tanzania litafahamika na kutangazwa bungeni huku baadhi ya watu wakihusishwa.https://youtu.be/QsP5eif6QHY

No comments: