Tuesday, November 17, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Wagombea uspika walioshindwa katika mchakato wa uchaguzi watoa maoni yao na ushauri kwa Spika Mpya. https://youtu.be/hiSekPjuGKU

Shamra shamra zatawala katika viwanja vya bunge huku baadhi yao baada ya kuapishwa wakipongezwa na familia zao. https://youtu.be/K_HEa5sQZHo

Baadhi ya wabunge vijana katika bunge la 11 waelezea adhima yao ya kuwania nafasi hizo na maoni yao kwa ujumla. https://youtu.be/Zenqx9Pi8VM

Uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za viwanda ni tatizo lenye athari katika ustawi wa jamii huku baadhi ya wakazi jijini Dar es salaam wakilalamikia utiririshwaji wa maji taka toka viwandani katika makazi yao. https://youtu.be/KuczQeAN7Qo

Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zatishia kuzuka kwa mafuriko huku Mbunge mteule wa jimbo la Kilosa akitoa msaada kwa wananchi wake.https://youtu.be/8AqefspBzcg

Serikali imeanza kuendeleza ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa huo kufuatia ujenzi huo kusimama apo awali. https://youtu.be/YtiqQbvGO0w

Bunge la 11 la jamhuri ya muungano wa Tanzania limemchagua Mh.Job Ndugai kuwa Spika wa bunge la serikali ya awamu ya tano; https://youtu.be/qYsWVk-vpzo

Wakazi wa kurasini jijini Dar es Salaam wameiomba serikali kumaliza kwa wakati ujenzi wa daraja la Kigamboni ili kurahisha usafiri; https://youtu.be/lPtYsBFc1DE

Watumishi wa tatu wa halimashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa matumizi mabaya ya madaraka;https://youtu.be/zLVO6QuEyfw

Wananchi mkoani Iringa wamemtaka Spika mteule Mh.Job Ndugai kukitendea haki kiti kwa kuleta usawa kwa wabunge wa vyama vyote. https://youtu.be/_9VSJNc08fM

Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano na kituo cha Sayansi na Mazingira cha India kutumia wataalamu wake katika uchimbaji wa madini ya Makaa ya Mawe;https://youtu.be/gYtvAKduqeI

Bondia Thomas Mashali ametamba kumgalagaza bondia Francis Cheka katika pambano litakalochezwa mkoani Morogoro mwezi ujao;https://youtu.be/C2BEgV_dxZs

Serikali ya nchini Uhispania imehimarisha ulinzi kuelekea pambano la watani wa jadi kati ya klabu ya Real Madridi dhidi ya Barcelona mwishoni mwa wiki hii;https://youtu.be/qZQpPJKvR2E

Mkuu wa wilaya ya Tarime mkoani Mara amewalazimisha viongozi wakae kwenye mabenchi ili kuonja adha waipatayo wanafunzi; https://youtu.be/2P_-lrXIy8I

Halimashauri ya jiji la Tanga imenunua Pampu kwa lengo la kunyonya maji taka katika makazi ya watu yaliyosababishwa na mvua; https://youtu.be/dbaz9R-2DZc

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh.Makonda ameutaka uongozi wa kiwanda cha Urafiki kuwalipa mishahara wafanyakazi wa kiwanda hicho; https://youtu.be/Lv4PMaRVcPY

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom inajianda kuleta huduma ya intaneti yenye kasi zaidi kurahisha matumizi ya intaneti; https://youtu.be/whxA68F6XUQ

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeingia makubaliano na kampuni ya Quality group kuiboresha hotel ya Bwawani kwa lengo la kukuza utalii;https://youtu.be/U34LUKHZg04

No comments: