Thursday, November 19, 2015

SHAMRASHAMRA ZA KUPATA WAZIRI MKUU MPYA NA NAIBU SPIKA BUNGENI DODOMA

 Shamra shamra zilianzia hapa: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akionesha kwa wabunge barua rasmi ya uteuzi wa jina la Waziri Mkuu Mteule Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa kutoka kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Bungeni mjini Dodoma leo asubuhi.
 Waziri Mkuu Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa akiwashukuru wabunge baada ya kuthibitishwa kwa kura nyingi Bungeni mjini Dodoma  Novemba 19, 2015

 "...Tummogeleee, Tummogele,,,, mwana wetu...Tummogelleeee..." Wabunge wanawake wakiimba kwa chereko  na Naibu Spika Dkt. Tulia Mwansasu (wapili kulia) baada ya kuapishwa bungeni mjini Dodoma Novemba 19, 2015.
 Waziri Mkuu Mteule, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akipongezwa  na Spika wa Bunge  Mhe. Job Ndugai baada ya kuthibitishwa na Bunge Novemba 19, 2015
 Waziri Mkuu, Mteule Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa  na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah baada ya kutibitishwa na Bunge mjini Dodoma Novemba 19, 2015. 
 Waziri Mkuu Mteule Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 19 2015
 Waziri Mkuu, Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkr Florens  Turuka kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma 
  Waziri Mkuu, Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa  akikaribishwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkr Florens  Turuka kusalimia viongozi wa taasisi mbalimbali kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma 
  Waziri Mkuu, Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa  akipongezwa na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari Leo Bw. Gabriel Nderumaki  kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma 
 Waziri Mkuu Mteule Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya Wakurugenzi na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake baada ya kuwasili kwenye makazi ya mjini Dodoma Novemba 19, 2015. 

No comments: