Francisca Mawala (kushoto) akipatiwa maelekezo na Mwanamitindo wa kampuni ya Manyatta inayojishughulisha na masuala ya mitindo,Anthonia Kilame( kulia) wakati alipokuwa akichagua moja ya bidhaa katika Maonesho yaliojulikana kama” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini katika kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania( katikati ni mbunifu wa bidhaa hizo Nancy Bondo)
Mwanamitindo atakaye shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Nancy Bondo (kulia) akimvisha shanga ya shingoni mteja wake Francisca Mawala,mara baada ya kuinunua wakati wa maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mwanamitindo atakaye shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Anthonia Kilame (kulia) akimuonyesha mmoja wa wateja wake waliofika kwenye maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 2015 chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Mmoja wa wanamitindo nchini alitakayeshiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, akimuonyesha mmoja wa wateja mwamvuli alioutengenza kwa kitenge aliyefika kwenye maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:
Post a Comment