Sunday, November 29, 2015

HATIMAYE MSIKITI WA KIJIJI CHA MLAMLENI WILAYA YA MKURANGA WAJENGWA UPYA KWA MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA NDANIO NA NJE YA NCHI

Muonekano wa  Msikiti wa zamani ulivyokuwa katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kabla ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi
 Msikiti wa Zamani ulivyokuwa katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kabla ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi
Sheikh Gharib Monero, akiwa nje ya msikiti wa Zamani ulivyokuwa katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kabla ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi. Sheikh Monero ndiye aliyeratibu na kuhamasisha michango kupitia mitandao ya jamii hasa blogs kukusanya fedha za ujenzi na kufanikiwa
 Muonekano wa leo wa msikiti huo katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani baada ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi
 Maandalizi ya ufunguzi rasmi wa msikiti huo
 Ndani ya msikiti kwa sasa
 Sehemu ya kinamama
 Waumini katika swalat
 Masahafu na majamvi yaliyopelekwa msikitini hapo na wasamaria wema kupitia kwa Sheikh Monero
Swalat ikiendelea

2 comments:

Anonymous said...

ingawa mimi si muislam lakini hii nimeipenda. hongera sheikh Gharib...

AlameenFoundation said...

Shukran kwa niaba ya wote , tunasema Ahsante .