Saturday, November 21, 2015

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Baadhi ya waandishi wa habari nchini wametoa maoni yao kuhusu hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa katika uzinduzi wa Bunge. https://youtu.be/ERXaYkypZC4
 SIMU.TV: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi NEC imetoa taarifa ya kufanyika uchaguzi kesho katika majimbo 2 kutokana na Vifo vya wagombea. https://youtu.be/3OzYleOvGtg
 SIMU.TV: Ofisi ya Bunge ikishirikiana na CAG watafanya mafunzo ya kujenga uwezo kwa wabunge juu ya matumizi bora ya fedha za Serikali.https://youtu.be/OknTK7Hk0a0
 SIMU.TV: Mbunge wa Zamani Wa Temeke Ndg. Abbas Mtemvu afungua rasmi kesi mahakamani kupinga matokeo ya Uchaguzi katika jimbo hilo.https://youtu.be/7PCmeyiXbHc
 SIMU.TV: Jumla ya watu 1396 wameugua ugonjwa wa Kipindupindu mkoani Tanga huku watu 13 kufariki dunia tangu kuzuka kwa ugonjwa huo. https://youtu.be/mW-d8AuIYFA
 SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Geita amepiga marufuku maandamano Ya CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika siku ya maziko ya Alphonce Mawazo.https://youtu.be/TKwhtfiN6lI
 SIMU.TV: Bohari ya dawa nchini MSD imetekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kupeleka vitanda na vifaa tiba  katika kitengo cha mifupa hospitali ya Muhimbili;https://youtu.be/Cl7HQrNjwwc    
 SIMU.TV: Wananchi wa Lushoto na Ulanga Mashariki wanatarajiwa kupiga kura kesho kuchagua wabunge watakao wawakilisha katika bunge la 11; https://youtu.be/X4h4ey-xBqY
 SIMU.TV: Raia mmoja wa Uingereza amekamatwa na kilo 22 za mirungi katika uwanja wa ndege wa Taifa  akitaka kuisafirisha kwenda Uingereza;https://youtu.be/qXhhEj2Ayos
 SIMU.TV: Polisi Mkoani Mwanza imezui mikusanyiko mikubwa ya watu ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu; https://youtu.be/RYEdITlKmCU
 SIMU.TV: Tanzania imekuwa kinara katika uwekezaji Afrika Mashariki kwa zaidi ya dola za Kimarekani Bil.2 kwa mwaka 2014-2015 https://youtu.be/ap1a9y3V6qQ
 SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Mohamed Shein amekagua eneo la miradi ya  ujenzi wa makazi ya watu na viwanda katika eneo la Fumba visiwani humo;https://youtu.be/RIOUo_TyfhU
 SIMU.TV: Watendaji kushindwa kubuni vyanzo vya mapato kumeelezwa kukwamisha maendeleo katika Halmashauri nyingi nchini; https://youtu.be/mRwQCFWTFDw
 SIMU.TV: Timu ya JKT Ruvu imepanga kulitumia dirisha dogo la usajili kupata wachezaji wapya ili kuleta changamoto katika timu hiyo; https://youtu.be/Nfpt18BnBw8
 SIMU.TV: Timu ya Uingereza imefanikiwa kuongoza katika mashindano ya mbio za magari za Race Of Champions yaliyofanyika jana nchini humo;https://youtu.be/UgfTYeNoupc
 SIMU.TV: Mtangazaji mwandamizi wa vituo vya radio na televisheni nchini Tanzania Prince Kamukulu amefariki dunia  na kuagwa leo jijini Dar Es Salaa:https://youtu.be/bnLdRVa7C3Y
 SIMU.TV: Vigogo wa FIFA wanaotumikia adhabu kwa ajili ya kosa la rushwa wamezidi kukabiliwa na wakati mgumu baada ya kufungiwa kwa siku tisini:https://youtu.be/OmzhKDPT8tw

No comments: