Tuesday, November 10, 2015

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI


Makamo wa raisi Bi Samia Suluhu apokelewa katika ofisi zake huku akiaahidi kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo katika ofisi hizo. https://youtu.be/caPRR2aT1vI
Kufuatia sintofahamu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar Raisi Dr.Shein akutana na Maalim Seif katika ikulu visiwani Unguja. https://youtu.be/U738e8-n71o

Hofu ya kipindupindu yaukabili mkoa wa Kagera baada ya wagonjwa kadhaa kupokelewa hospitali wakihofiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo. https://youtu.be/rryYsjdheAQ
Mgambo wa jiji wakusanyika katika ofisi za Manispaa ya Kinondoni wakidai stahiki zao baada ya mikataba yao kusitishwa. https://youtu.be/B_OqPKS3nZU
Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya hapo jana zinaonyesha ugonjwa wa kipindupindu umeua takribani watu 106 mpaka sasa. https://youtu.be/_5yqN1MaVxI

Wananchi visiwani Zanzibar waiomba serikali kuchukua hatua za dharura kuwanusuru Kobe wa Changuu kutoweka kufuatia uangalizi duni jambo litakalo punguza utalii. https://youtu.be/QzxYh2tUBvA

Maajabu ya Shimo la Mungu laendelea kuwashangaza wakazi wa Newala mkoani Mtwara kufuatia maajabu yanayozidi kujitokeza katika shimo hilo. https://youtu.be/09gOa5wtnTU

Ofisi ya taifa ya takwimu yatoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi October huku ikionyesha ongezeko la bei kwa asilimia 6. https://youtu.be/czVfh47MtO4

Upinzani mkoani Kigoma waonyesha kudorora mkoani humo baada ya uchaguzi mkuu, CCM yaonekana kuukomboa mkoa huo. https://youtu.be/jvIHZXtAcpc

Vyama vya siasa nchini vimetaadharishwa kuwa makini wakati wa kutafta wanachama halali na sio wakishabiki; https://youtu.be/3pUi7cggez0

Watu wenye ulemavu wa macho mkoani Tabora wamepatiwa mafunzo ya ufundi yatakayowezesha kufanya shuguli kwa ajili ya kujipatia vipato; https://youtu.be/PgCC8pXE1Ik

Watanzania nchini wameombwa kuondoa tofauti zao za vyama na kudumisha umoja na amani nchini; https://youtu.be/Mt7rxp8GgDE

Raisi mstaafu,Dk.Kikwete amewata watanzania kuinga mkono timu  ya taifa katika safari yake ya kufuzu kuelekea kombe la dunia mwaka 2018; https://youtu.be/YXOVDP0G998

Timu ya taifa ya Nigeria ya chini ya umri wa miaka 17 wametwaa kombe la FIFA la dunia; https://youtu.be/QKTI1uUYe0E

Baadhi ya wanafunzi wa sekondari mkoani Kilimanjaro wamempongeza raisi Dk.Magufuli kwa kuondoa ada elimu kwa shule za serikali; https://youtu.be/3ollE-Ha1Ck

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imezindua huduma mpya kwa wateja wake ya mpango mzima; https://youtu.be/Uv3QbMjAvX8

Mashabiki wa klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo wamekesha wakifurahia ushindi wa kalbu yao kutwa taji la ligi ya mabingwa barani Afrika. https://youtu.be/b_ENm2uv3tY

Serikali imedaiwa kutotangaza vema baadhi ya vivutio vya utalii licha ya kuwa vinaweza kuwa chacha ya pato la taifa; https://youtu.be/UNghg7oIIp8

No comments: