Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni
ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo (Mary Kay) wakati wa
mafunzo mafupi ya jinsi ya kujiremba kwa
kutumia vipodozi hivyo.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya
kampuni hiyo mahususi kwa wafanyakazi wake.
Jacqueline
Macha ambaye ni mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha
na masuala ya urembo ya Mary Kay akiwaonesha wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
moja ya picha iliyorembwa kwa kutumia vipodozi vya kampuni hiyo wakati wa
mafunzo mafupi ya jinsi ya kutumia vipodozi hivyo.Mafunzo hayo yaliandaliwa na
Idara ya Rasilimali watu ya Vodacom Tanzania
mahususi kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa
Vodacom Tanzania,Joan Makwai (kulia) akimsikiliza kwa makini Jacqueline Macha
ambaye ni mshauri wa kitaalamu wa
kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya Mary Kay akifafanua
jambo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa mafunzo mafupi ya jinsi ya kutumia vipodozi vya kampuni hiyo
.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya kampuni hiyo mahususi
kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyaka wa Vodacom Tanzania walioshiriki katika mafunzo mafupi ya jinsi ya kutumia vipodozi vya kampuni ya
kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya Mary Kay,wakimsikiliza Mshauri wa
kitaalamu wa kampuni hiyo Jacqueline
Macha,wakati wa mafunzo mafupi ya jinsi
ya kutumia vipodozi vya kampuni hiyo yaliyoandaliwa na Idara ya Rasilimali watu
ya Vodacom Tanzania,mahususi kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.
Vipodozi vya urembo kwa wanawake vya kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na
masuala ya urembo ya Mary Kay.
Mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya
kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya (Mary Kay) Jacqueline
Macha(kulia)akimremba Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa Vodacom
Tanzania,Joan Makwai,wakati wa mafunzo
mafupi ya jinsi ya kutumia vipodozi vya kampuni hiyo yaliyoandaliwa na
Idara ya Rasilimali watu ya Vodacom Tanzania,mahususi kwa wafanyakazi wake
jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania, Edna Mtema (kushoto) akirembwa na Mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na
masuala ya urembo ya (Mary Kay) Jacqueline Macha kwa kutumia vipodozi vya
kampuni hiyo wakati wa mafunzo mafupi ya
jinsi ya kutumia vipodozi vya kampuni hiyo yaliyoandaliwa na Idara ya
Rasilimali watu ya Vodacom Tanzania,mahususi kwa wafanyakazi wake jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment