Mgombea uraisi kupitia Ukawa Edward Lowassa amaliza kampeni zake mkoani Tanga huku akiahidi kujenga bandari mkoani humohttps://youtu.be/_ VvUDJlBU8Q
Tanzania yazindua malengo 17 ya dira ya maendeleo ya millennia ikiwemo kutokomeza umasikini na usawa wa kijinsia. https://youtu.be/b6z2XKKCmlQ
Mahakama ya Rufaa kanda ya Tabora yaanza kikao chake chini ya jopo la majaji 3 kutolea uamuzi jumla ya kesi 39. https://youtu.be/j3ZU2YaFEoM
Mgombea ubunge wa jimbo la Iringa mjini kupitia Chadema aachiwa kwa dhamana baada ya kutiwa mbaroni kwa kuanzisha vuruguru kuzua Msafara wa Dkt.Magufulihttps://youtu.be/ gA5Up8AHfFE
Kati ya usalama wilayani Masasi yakanusha taarifa za uzushi zilizo zagaa mitandaoni juu ya kukamatwa kwa makasha ya kura. https://youtu.be/zoNOTN-_hhE
Watu 1000 wadaiwa kuugua ugonjwa wa kipindupindu na wengine 17 kupoteza maisha jijini Dar es salaamhttps://youtu.be/s- FyuxFhVEo
Ligi ya mabingwa barani ulaya inelendelea kutimua vumbi huku klabu ya Barcelona ikiingia uwanjani bila nyota wake tegemeo Lionel Messi. https://youtu.be/bzQI-mi7yfw
Klabu ya Azam Fc yatoa saa 72 kwa TFF kutoa hukumu dhidi ya madai ya uzalilishaji wa mchezaji wake John Bocco. https://youtu.be/klB-3XzaVtU
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC,imetangaza kuwachukulia hatua wagombea na wapambe wao wanao tumia majukwaa kutoa lugha za matusi.https://youtu.be/rN83TTGWyNs
Magufuli amaliza ziara yake ya kampeni mkoani Iringa na kuanza ziara mkoani Dodoma huku akikemea siasa za kikabila. https://youtu.be/vGXVPG1N8Dw
Kiongozi wa mbio za mwenge taifa awahimiza wajasiriamali nchini kuongeza thamani ya bidhaa zao ili ziweze kupata soko ndani na nje ya nchihttps://youtu.be/ fvFiLz9ELTk
Makamo wa Raisi Dr.Bilali aongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa morogoro wakiwemo viongozi wa serikali katika mazishi ya marehemu Celina Kombani.https://youtu.be/PuhNSCBpUNM
Tume ya taifa ya uchaguzi yalaani matumizi ya lugha za matusi katika kampeni zinazo endeleo katika maeneo mbalimbali hapa nchinihttps://youtu.be/ DRsTs6qEnM4
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar yapinga hoja ya serikali ya mkataba inayopigiwa chapuo na vyama vya upinzani huku ikidai itavunja muungano.https://youtu.be/e8hSl06h_94
Tanzania yaungana na jumuiya ya kimaifa kuadhimisha siku ya afya ya moyo duniani kwa kutoa huduma ya upimaji moyo na magonjwa yasiyo ambukizwa.https://youtu.be/CRfxN9aG9A4
Wakazi wa Arusha wachukua tahadhari dhidi kipindupindu kwa kufanya usafi dhidi ya meneo yenye mikusanyiko ya watu kama sokoni. https://youtu.be/bd5GDcV5QF8
Serikali ya Ujerumani yaikabidhi majengo ya kufundishia wanafunzi wa utabibu wa jeshi la wananchi wa Tanzaniahttps://youtu.be/ PXTCJPEKsrg
No comments:
Post a Comment