Ligi kuu ya soka Tanzania bara yataraji kuendelea siku ya kesho ikiwa ni mtanange wa pili kwa kila timu ya ligi kuu. https://youtu.be/hwW5vos3Q8w
Msimu mpya wa ligi ya mabingwa ulaya watarajiwa kuanza leo ambapo vilabu 16 kutinga uwanjani usiku huu. https://youtu.be/p2_2PugC90o
Serikali yasema yathamiria kuendelea kuchukua hatua za kukuza mazingira bora kwa kufanya biashara na wawekezaji. https://youtu.be/gJvppn-TM08
Imeelezwa kwamba changamoto ya wakulima kupata fedha za matibabu huenda ikamalizika endapo wakulima watajiunga na mfuko wa bima ya afya.https://youtu.be/iWUbjNxaE-s
Magari ya mizigo yanayotumika kuhamasisha usafirishaji wa mazao yaondoka Dare s salaam kuelekea nikoa kumi hapa nchini itakayoshirirki kampeni ya kuhamasisha kampeni . https://youtu.be/QKN0S5SBhlQ
Mgombea urais kupitia CCM aahidi kuboeresha kilimo cha zao la tumbaku kwa kuwashawishi wawekezaji kuwekeza kwa kujenga kiwamda cha kutengeneza sigara tofauti na ilivyo sasa. https://youtu.be/ScG-yY4Xkjs
Mkutano wa siku 2 uliolenga kujadili kampeni za uchaguzi mkuu uliowakutanisha viongozi wa dini,vyama vya siasa na wadau mbalimbali wafikia tamati.https://youtu.be/3Jak15yVl_A
Wakazi wa Yombo Relini walalamikia kuwapo kwa makundi ya vibaka na waporaji katika maeneo yao wakiendesha vitendo vya uporaji kwa kutumia silaha.https://youtu.be/5VpkhTZT54w
Waziri mkuu mstaafu Edward lowassa awasili mkoani Mororgoro kuendeleza kampeni katika majimbo mbalimbali ya mkoa huo https://youtu.be/16AQb-lQMoU
Tume ya Taifa ya uchaguzi yasitisha kampeni jimbo la Lushoto mkoani Tanga baada ya kufariki kwa mgombea wa Chadema. https://youtu.be/VtkVfyeLo7A
Jumuiya ya wazazi ya CCM yawataka Watanzania kutambua umuhimu wa kupiga kura na kuacha tabia ya kuuza kura zao. https://youtu.be/wssMXYUlBbI
Saidi Nkumba arejea CCM wakati wa mkutano wa Magufuli akitokea Ukawa na ACT baada ya awali kuwa amekihama chama hichohttps://youtu.be/ 6lFyLnWvtfw
Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka NEC aelezea utaratibu wa kupiga kura kwa nafasi za uraisi na ubunge. https://youtu.be/BTSvG4HghUY
Serikali yapiga marufuku uingizaji wa majofu yaliyotumika nchini ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. https://youtu.be/j2d422xs1lU
Wakazi jimbo la Nanyamba mkoani Mtwara wataka mbunge ajaye kuwaondolea tatizo la maji kwani hawana huduma hiyo tangu Uhuru. https://youtu.be/RSZi1hBhgUw
Mahakama kuu ya Tanzania yataja kesi ya kikatiba iliyo funguliwa dhidi ya sheria ya makosa ya mtandao huku ikipanga majaji 3 dhidi ya shauri hilohttps://youtu.be/LJuLl_ 1pe7A
Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli ahaidi kufufua uchumi wa mkoa wa Tabora huku Saidi Nkumba akirejea CCM rasmi. https://youtu.be/eNopON5iiH0
Hamasa ya umiliki wa ardhi kwa wanawake mkoani Mbeya yaelezwa kuongezeka kwa kasi kufuatia elimu dhidi ya mila potofu. https://youtu.be/iiJzuDwBrLw
Polisi mkoani Singida inamshikilia mwenyekiti wa kijiji cha Ikungi kwa tuhuma za kumvunja mguu mwanamke mmoja kwenye kampeni. https://youtu.be/4xHNdVY0DXY
Kufuatia wanafuzi zaidi ya 500 wa shule ya sekondari ya Geita kisimamishwa masomo hatimaye wapaza sauti zao kueleza kilio chao. https://youtu.be/RdR-0q5Q5t0
Mgombea mwenza wa uraisi kupitia CCM Samia Suluhu amaliza kampeni zake mkoani Lindi huku akihaidi neema kwa wakulima wa Korosho. https://youtu.be/r1TreYGNcrY
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pope Francis asema mashirika ya dini yanyomiliki hoteli na migahawa yanapaswa kulipa kodi kama wafanyabiashara wengine
Katika hali ya kusikitisha ajali ya basi yaua watu 5 na kujeruhi vibaya 39 wilayani Handeni Mkoani Tanga https://youtu.be/c_tEIxI7LI8
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam asema serikali inafanya uchunguzi kuhusu tukio la kubomolewa nyumba zaidi ya 140 mtaa wa Vikongoro kata ya Chanika. https://youtu.be/1uIRpfoXyEY
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM asema endapo atachaguliwa atadumisha amani na mshikamano miongoni mwa wa Zanzibari pamoja na kukuza uchumi.https://youtu.be/z7Q22vYbfkY
Waziri mkuu mstaafu Edward lowassa awasili mkoani Mororgoro kuendeleza kampeni katika majimbo mbalimbali ya mkoa huo https://youtu.be/hfhPCuHCZA0
Msimu mpya wa ligi ya mabingwa ulaya watarajiwa kuanza leo ambapo vilabu 16 kutinga uwanjani usiku huu. https://youtu.be/p2_2PugC90o
Ligi kuu ya soka Tanzania bara yataraji kuendelea siku ya kesho ikiwa ni mtanange wa pili kwa kila timu ya ligi kuu. https://youtu.be/hwW5vos3Q8w
Magari ya mizigo yanayotumika kuhamasisha usafirishaji wa mazao yaondoka Dare s salaam kuelekea nikoa kumi hapa nchini itakayoshirirki kampeni ya kuhamasisha kampeni . https://youtu.be/QKN0S5SBhlQ
Imeelezwa kwamba changamoto ya wakulima kupata fedha za matibabu huenda ikamalizika endapo wakulima watajiunga na mfuko wa bima ya afya.https://youtu.be/iWUbjNxaE-s
Serikali yasema yathamiria kuendelea kuchukua hatua za kukuza mazingira bora kwa kufanya biashara na wawekezaji. https://youtu.be/gJvppn-TM08
Wakazi wa Yombo Relini walalamikia kuwapo kwa makundi ya vibaka na waporaji katika maeneo yao wakiendesha vitendo vya uporaji kwa kutumia silaha.https://youtu.be/5VpkhTZT54w
Mkutano wa siku 2 uliolenga kujadili kampeni za uchaguzi mkuu uliowakutanisha viongozi wa dini,vyama vya siasa na wadau mbalimbali wafikia tamati.https://youtu.be/3Jak15yVl_A
No comments:
Post a Comment